Acha kudanganya watu , hao hao wanaosema hawali nguruwe ndiyo wanaongoja kwa huo usodoma, tunajua sana tatizo huwa tuna staha ya maneno, nakukaribisha nina ninafuga hao nguruwe nitafutiage wateja mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma Matendo ya mitume 10 labda uwe ni wale wanyofoa vifungu vinavyokufunga mwenyewe
Sheria na amri ndivyo vinahitajika mwanadamu avifateWewe tangulia kuzimu kwa Mungu wako Ibilisi
Wewe tangulia kuzimu kwa Mungu wako Ibilisi
Unadhani misikiti na makanisa yataendeshwa vipi tusipotoa zaka na sadaka?
masheikh na mapadre watakula wapi?
Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa akili imekukaa ", jibu maswali hayaSasa Mungu akimuadhibu kiumbe wake aliyemuumba mwenyewe kosa lipo wapi??, si kamuimba yeye mwenyewe na anajua mapungufu yake!!.
Vipi we dogo!!
Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa akili imekukaa ", jibu maswali haya
1.kuua ni ubaya au uzuri ?
2. Unapoutia ugumu moyo wa mtu hapo kuna fair play ?
Huo mfano wako mzuri kweli, aya sasa tuurudishe kwa namna tunavyojadili ubaya na uzuri wa uuaji wa Mungu ;Tatizo lako wewe dogo unasoma vitu nusunusu pia huwa hautafakari vya kutosha na hilo linathibitika kutokana na hayo maswali yako, eti unauliza:-
(1) kuua ni ubaya au uzuri??, jibu lake ni kwamba, kuua bila sababu inayopasa ni ubaya lakini kuua kwa sababu inayopasa ni vizuri, mfano kama kaja jambazi na silaha nyumbani kwako jambazi kwa dhamira ya kukuua ili apore mali zako na wewe ukamuwahi kumuua hapo unasemaje juu ya hayo mauaji??!!.
Unauliza swali la (2) kwamba, "unapotia ugumu moyo wa mtu hapo kuna fair play?"
Jibu ni kwamba, ama umesoma hiyo habari (kuhusu Firauni na nabii Musa as), nusunusu au kitabu ulichosoma kina mapungufu juu ya hiyo habari, sasa nakufungulia Qur'an uone ni kwa vipi Firauni alipewa moyo mgumu (au moyo wake ukawa mgumu kutokana na matendo yake).
Quran Suratul (Yunus:88-89), inasema:-
Na Musa akasema; Mola wetu mlezi hakika wewe umempa Firauni na wakuu wake mapambo na mali katika maisha ya dunia, hivyo wanapoteza watu katika njia yako. Mola wetu mlezi zifutilie mbali mali zao na ZIFUNGE NYOYO ZAO,wasiamini mpaka waione adhabu chungu. (10:88)
Mwenyezi mungu akasema; Maombi yenu yamekubaliwa. Basi simameni sawasawa ,wala msifuate njia za wale wasiojua. (10:89).
ππ»Hiyo ndiyo habari yote kwa mukhtasari ilivyokuwa jinsi ilivyoeleza ndani ya Qur'an tukufu kuhusu Firauni aliyepata moyo mgumu.
Huo mfano wako mzuri kweli, aya sasa tuurudishe kwa namna tunavyojadili ubaya na uzuri wa uuaji wa Mungu ;
1.kwa vile umeleta mfano kuwa kuna uuaji mzuri na uuaji mbaya, ebu tuonyeshe sasa uuaji upi wa Mungu ni mzuri na uuaji upi mbaya ?
2.Musa ameomba dua ili firauni afanywe mgumu moyo wake, kitendo hicho cha kufanywa mgumu firauni moyo wake , maana yake firauni anakosa utashi wa kufanya jambo kwa matakwa yake kwa sababu Mungu ametumia Uungu wake kumfanya firauni awe mgumu wa moyo , sasa firauni iweje awe nakosa kutowaruhusu waisrael waondoka wakati Mungu mwenyewe kaufanya moyo wa firauni kuwa mgumu iko wapi fair play ?
Ahahahahaaaahahhahhaaha mkuu usilalamike hapa kila jambo linaweza jadiliwa , pamoja na kushindwa kujibu maswali yangu na kuanza kuzunguka na maelezo kibao yasiyo na msingi , maelezo yako yatakubana mwenyeweNdiyo maana nikasema wewe bado ni "dogo sana" kifikra. Njia rahisi ya wewe, nadhani, ni kutumia mifano tu ili uelewe hekima za Mungu.
Wewe mbele ya Mungu ni chini zaidi kuliko wewe jinsi unavyommiliki mbuzi wako, leo ukiamua kumchinja mbuzi wako na kupika supu nani atakuuliza??, halikadhalika kama Mungu angeamua kukufanya wewe uwe kitoweo chake ungeropoka " that's unfair ??!!" wakati huna lolote la kumfanya kwani yeye atabaki kuwa Muumba wako na wewe utabaki kuwa kiumbe chake, full stop.sasa kiburi cha kumjudge Mungu eti, kawa muuaji unakitoa wapi??, naam, Mungu atawaua wale ambao ni majeuri na waharibifu na mafedhuli katika ardhi kama Firauni alivyokuwa.
Eti, unaendelea kumkosoa Mungu kwanini kamfanya Firauni awe na moyo mgumu na kisha kumuadhibu.
Nimesema upeo wako wa kuelewa falsafa ya maneno ya Mungu ni mdogo na inaonekana umetawaliwa na jazba (emotions).
Firauni alikuwa ni jeuri mno na hakukubali kabisa jambo lolote aliloambiwa na Musa (as) na kilichompa jeuri na kiburi ni mali, ufalme na kuogopwa na raia na hasa Waisraeli, Musa akamuomba Mungu aangamize mali zake na hatua hii ilikuja baada ya hatua mbalimbali kushindwa na inaonyesha kamwe Firauni asingekubali kunyenyekea mbele ya Musa, ndipo Mungu akakubali maombi ya Musa kwa kumdhoofisha katika mali jambo lililomfanya Firauni awe na kiburi na jeuri zaidi kuliko hapo kabla kwasababu musa alimueleza kuwa kuanguka kwa mali zake ilitokana na hasira za mungu juu yake. Hivyo maneno "kutia ugumu moyoni" maana yake ni jeuri na kiburi na hasira na adhabu za Firauni zilizidi dhidi ya waisraeli kutokana na yale matokeo ya adhabu ya Mungu na hatimaye Mungu akamgharikisha baharini. Sasa huo ndiyo ufafanuzi wa habari hiyo.
Nikupe mfano mmoja; unapowinda chui "(a feral leopard)" anaponasa kwenye mtego ili kumuua kirahisi wawindaji humsogelea karibu na kumsakizia mti "(a poking pole)" ili kumpandisha hasira na mara moja ataung'ata huo mti na hapo inakuwa rahisi kumtwanga risasi, hapo kwa fikra zako utauliza kwanini apandishwe hasira halafu auawe??!!, mfano huo ndiyo jinsi Firauni alivyotiwa ugumu wa moyo na Mungu ili aangamizwe kwa sababu hatua aliyofikia ni "point of no return" na hakuwa tena mtu wa kheri.
Ahahahahaaaahahhahhaaha mkuu usilalamike hapa kila jambo linaweza jadiliwa , pamoja na kushindwa kujibu maswali yangu na kuanza kuzunguka na maelezo kibao yasiyo na msingi , maelezo yako yatakubana mwenyewe
"Point of no return", aliyofikia firauni Mungu aliijua kabla firauni ajafikia hatua hiyo au aliijua baada ya firauni kufikia hatua hiyo ? taratibu tutaelewana tu
Ujajibu swali , Mungu alijua wakati gani kuwa sasa firauni hawezi kuwa mwema? ni baada ya maombi ya musa au kabla ya maombi ya musa ?Mungu alijua kuwa Firauni hasingegeuka kumkubali Musa (as), na hilo ni kutokana na majivuno na kiburi chake, njia ambayo aliichagua mwenyewe.
Ujajibu swali , Mungu alijua wakati gani kuwa sasa firauni hawezi kuwa mwema? ni baada ya maombi ya musa au kabla ya maombi ya musa ?
Umesoma matendo 10 niliokwambia? Wala sitishiki na biashara biashara kuna mwezi mmoja lakin mingine ni wanunuzi ndiyo wanapigana vikumboSamahani kwa kueleza ukweli unaohatarisha biashara yako ya kiti moto, lakini ukisoma katika walawi , kuna maelezo juu ya nyama ya nguruwe. Nasi tunamuogopa Mungu zaidi kuliko wanadamu== Tunamuogopa yule anayeweza kudhuru mwili na roho kuliko yule anayeweza kudhuru mwili pekee.
Mungu alitaka kujidhihirisha kwao ili wamjue kama yeye ndiye Mungu niko ambaye niko, acha wamjaji ,Inaonekana kwamba umekwisha elewa maana ya Firauni kupewa moyo mgumu, sasa umekuja na mada nyingine unapotaka kujua; eti, Mungu alijua lini kwamba Firauni hataongoka?!!--Jibu ni "Mungu alijua hata kabla hajamuumba huyo Firauni kwamba asingeongoka kutokana na upumbavu, kiburi, jeuri, ujinga na ufedhuli wake mwenyewe.
Mungu alijua kabla hata hajamuumba huyo Firauni kwamba hataongoka.
Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa kama alijua kabla ajamuumba firauni kuwa atakuwa jeuri , sasa firauni kosa lake liko wapi ? kumbe ule ujeuri ni mipango ya huyo Mungu mwenyewe sasa hapa kuna fair play? mwacheni firauni wala hana tatizo kabisaInaonekana kwamba umekwisha elewa maana ya Firauni kupewa moyo mgumu, sasa umekuja na mada nyingine unapotaka kujua; eti, Mungu alijua lini kwamba Firauni hataongoka?!!--Jibu ni "Mungu alijua hata kabla hajamuumba huyo Firauni kwamba asingeongoka kutokana na upumbavu, kiburi, jeuri, ujinga na ufedhuli wake mwenyewe.
Mungu alijua kabla hata hajamuumba huyo Firauni kwamba hataongoka.
Firauni kosa lake liko wapi ? wakati anayoyafanya Mungu alitaka afanye hivyoMungu alitaka kujidhihirisha kwao ili wamjue kama yeye ndiye Mungu niko ambaye niko, acha wamjaji ,
atawapigia tu anawasikia vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa kama alijua kabla ajamuumba firauni kuwa atakuwa jeuri , sasa firauni kosa lake liko wapi ? kumbe ule ujeuri ni mipango ya huyo Mungu mwenyewe sasa hapa kuna fair play? mwacheni firauni wala hana tatizo kabisa