Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,396
nimeshindwa kupata maana iliyokusudiwa hapa tafadhaliTabia ya kujizoesha ni kutokula hivyo njia ni na Luna wa niko no na maji na Daby ni Mara tu ufikapo nyumbani.
nimeshindwa kupata maana iliyokusudiwa hapa tafadhaliTabia ya kujizoesha ni kutokula hivyo njia ni na Luna wa niko no na maji na Daby ni Mara tu ufikapo nyumbani.
Tabia ya kujizoesha ni kutokula hovyo njiani na kunawa mikono kwa maji na sabuni mara tu ufikapo nyumbani.nimeshindwa kupata maana iliyokusudiwa hapa tafadhali
Ukiona hivyo kanisa lenu waumini sio wasafi wa mwili, na dhambi hiyo inaambukiza hata mioyo yenu kuwa michafu. Pia naomba ujitathimini maana wewe una dhambi ya ubaguzi kwani masikini kwako ni kinyaa! Ila unapaswa umsaidie, sio kwa kumpa kita, hata kumwelimisha angalau.Mungu anisamehe lakini kuna kitu huwa kina ni kera sana nikiwa kanisani kwetu (Roman Catholic), yaani unapofika wakati wa "kupeana amani ya bwana" duuuu! kuanza kumshika huyu mkono, huyu, yaani huwa nakereka, halafu nikitaka kupotezea unakuta mtu ndio keshakupa mkono, ila huwa nawaza wanaopenda kupekenyua pua, sasa ona na hiyo picha hapo juu!!! Natamani ningekuwa na uwezo wa kushawishi (mama kanisa) huo utaratibu ufutwe wa kushikana shikana mikono!!!
kwa hiyo umeitafsiri.... ile juu ni lugha gani??😵😵Tabia ya kujizoesha ni kutokula hovyo njiani na kunawa mikono kwa maji na sabuni mara tu ufikapo nyumbani.
Sikumbuki kama kuna mahali nimeongelea "maskini"Ukiona hivyo kanisa lenu waumini sio wasafi wa mwili, na dhambi hiyo inaambukiza hata mioyo yenu kuwa michafu. Pia naomba ujitathimini maana wewe una dhambi ya ubaguzi kwani masikini kwako ni kinyaa! Ila unapaswa umsaidie, sio kwa kumpa kita, hata kumwelimisha angalau.
Mkuu huyo ni mtu wa mashariki ya mbali. Jamii ya wahindi, sri lanka, na wengineo. Sio mwafrika huyo.Utamadun Wa Kiafrika Huu
Vaa gloves..teh tehMungu anisamehe lakini kuna kitu huwa kina ni kera sana nikiwa kanisani kwetu (Roman Catholic), yaani unapofika wakati wa "kupeana amani ya bwana" duuuu! kuanza kumshika huyu mkono, huyu, yaani huwa nakereka, halafu nikitaka kupotezea unakuta mtu ndio keshakupa mkono, ila huwa nawaza wanaopenda kupekenyua pua, sasa ona na hiyo picha hapo juu!!! Natamani ningekuwa na uwezo wa kushawishi (mama kanisa) huo utaratibu ufutwe wa kushikana shikana mikono!!!
Umenikumbusha mzee mmoja anaitwa PremjiEnterobius vemicularis[emoji36][emoji22][emoji22][emoji22]
Si bora ampe mkono hapo unatengenezewa matunda au juice na mikono hiyohiyo unajilamba.
Nafuu ampe huyo mshikaji mkono kulikoni mkono huohuo utumike kukamulia juice. ..huyu alitakiwa akamatwe na kupelekwa mahakamani ili liwe funzo kwa wengine.
inaitwa express your self