PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,270
[emoji106]Mungu anisamehe lakini kuna kitu huwa kina ni kera sana nikiwa kanisani kwetu (Roman Catholic), yaani unapofika wakati wa "kupeana amani ya bwana" duuuu! kuanza kumshika huyu mkono, huyu, yaani huwa nakereka, halafu nikitaka kupotezea unakuta mtu ndio keshakupa mkono, ila huwa nawaza wanaopenda kupekenyua pua, sasa ona na hiyo picha hapo juu!!! Natamani ningekuwa na uwezo wa kushawishi (mama kanisa) huo utaratibu ufutwe wa kushikana shikana mikono!!!