Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Yaani inatisha mnoYaani jamaa kashindwa kuvumilia ikabidi ajipige mwenyewe vidole. Hapo mshikaji akipita anampa mkono bila hata kunawa.
Si bora ampe mkono hapo unatengenezewa matunda au juice na mikono hiyohiyo unajilamba.Yaani jamaa kashindwa kuvumilia ikabidi ajipige mwenyewe vidole. Hapo mshikaji akipita anampa mkono bila hata kunawa.
Unapopanda bus yale mabomba ya kushikia kuna waliotoka chooni hawajanawa, unajua jinsi wanaume wavyopata haja ndogo wametoka huko wameshika bomba.Mungu anisamehe lakini kuna kitu huwa kina ni kera sana nikiwa kanisani kwetu (Roman Catholic), yaani unapofika wakati wa "kupeana amani ya bwana" duuuu! kuanza kumshika huyu mkono, huyu, yaani huwa nakereka, halafu nikitaka kupotezea unakuta mtu ndio keshakupa mkono, ila huwa nawaza wanaopenda kupekenyua pua, sasa ona na hiyo picha hapo juu!!! Natamani ningekuwa na uwezo wa kushawishi (mama kanisa) huo utaratibu ufutwe wa kushikana shikana mikono!!!
Nafuu ampe huyo mshikaji mkono kulikoni mkono huohuo utumike kukamulia juice. ..huyu alitakiwa akamatwe na kupelekwa mahakamani ili liwe funzo kwa wengine.Yaani jamaa kashindwa kuvumilia ikabidi ajipige mwenyewe vidole. Hapo mshikaji akipita anampa mkono bila hata kunawa.
Yaani sky Éclat, umenikumbusha tena! Huwa nawaangalia wale vijana wanaouza karanga, kwa mfano Moshi mjini wengi naona hawajazifunga kwenye vifuko, anaweza hata kuchota kwa mkono wake! Najiuliza moyoni, huyu kaka si alivyokojoa mkojo (mkojo mrefu wa kawaida sio ule mwingine) si wanaume lazima washike "dude" sasa alinawa saa ngapi na muda huu anachota karanga kwa mkono!!!!!.Unapopanda bus yake mabomba ya kushikia kuna waliotoka chooni hawajanawa, unajua jinsi wanaume wavyopata haja ndogo wametoka huko wameshika bomba.
Tabia ya kujizoesha ni kutokula hivyo njia ni na Luna wa niko no na maji na Daby ni Mara tu ufikapo nyumbani.
Unapopanda bus yake mabomba ya kushikia kuna waliotoka chooni hawajanawa, unajua jinsi wanaume wavyopata haja ndogo wametoka huko wameshika bomba.
Tabia ya kujizoesha ni kutokula hivyo njiani na kunawa mikono kwa maji na sabuni mara tu ufikapo nyumbani.