Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,547
Si wasukuma shemeji zako hata hutuagi, shauri yako ngoja tukupige fitina kwa mjeda
Kumbe..!!! Alikuwa wapi mwanzo??Dada fulani hivi kahamia SA hivi karibuni
Tegeta Nyuki!Kumbe..!!! Alikuwa wapi mwanzo??
Okay mchungaji....Tegeta Nyuki!
Dah nina plan ya kuja SA kwa wiki mbili......i hope nitawapata wenyeji wa uko.....karibu alexandria au Hilbrow tukuonyeshe South ya ukweli...hapo stainton hakuna ishu
Vale twende na sisi bwana tukashangae.Na mimi nikuje?
Eeh twende mwaya tukasafishe nyota nasie....Vale twende na sisi bwana tukashangae.
Nawe ni msukuma?Si wasukuma shemeji zako hata hutuagi, shauri yako ngoja tukupige fitina kwa mjeda
Hahaaa utalowea mazimaEeh twende mwaya tukasafishe nyota nasie....
Ila mi nikienda naweka kambi uko sirudi tena
Eeh mwenzangu au kama vipi naunganisha US kwa Nyani Ngabu huku waanze kunisahau tu[emoji85]Hahaaa utalowea mazima
Na Mimi Mimi nimehamia mahezangulu bumbuli full bata njooeni aisee
Nasikia mabox ya kubeba yameisha uko sasa sijui utabeba niniEeh mwenzangu au kama vipi naunganisha US kwa Nyani Ngabu huku waanze kunisahau tu[emoji85]
Nitabeba hata watu wallah!Nasikia mabox ya kubeba yameisha uko sasa sijui utabeba nini
Kuna njia nyingi za kubeba watu sasa sijui wewe utawabebajeNitabeba hata watu wallah!