Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Nawabeba begani kama guniaKuna njia nyingi za kubeba watu sasa sijui wewe utawabebaje
Nawabeba begani kama guniaKuna njia nyingi za kubeba watu sasa sijui wewe utawabebaje
HahaaaKasie nasubiri about James ujue[emoji4]
Asante eehKasieeee daaah_.....!!!! Hongera Mkuu,.ila kuna baadhi ya maneno cjayaelewa vzr ktk huu Uzi wako ila nahic kutokana na furaha uliyonayo,.anyway
Enjoy Life.[emoji6]
Nakutamania[emoji4]Hahaaa
Mbona mwepesi kusahau na mgumu kuelewa mamii.... James atarudi kipindi cha pasaka ila......
Kwa kijiwe kipya hiki ntaweza kuonana nae kabla ya pasaka maana ntafika Jeddah kwa mgongo wa kijiwe...... raha iliyojeee wacha nile utamu 🙂🙂🙂
Bado nna kamba mguuni best na akili yangu imejaa hofu za kuwa south africa wengi ni drug dealers usimuamini ambaye humfahamu. Pia wizi ujambazi, unyang'anyi na utapeli umejaa hasa nyakati za usiku. Kamba ikikatika mguuni ntaku PM.Huko Joberg wamejaa wahuni tu hasa Hilbrow , njoo huku cape town ule good time!!!
Asante best, nikipata off ntaku PM unioneshe mema ya nchi ya kusini. Kwa jinsi nilivo njuka hapa Joberg naona bonge ya mahali japo hapapafikii Dubai na Marekanikaribu alexandria au Hilbrow tukuonyeshe South ya ukweli...hapo stainton hakuna ishu
Hapana labda ulipitwa ni kuwa James alirudi Jeddah na ameahidi kurudi kipindi cha pasaka. Na kwa kijiwe changu kipya hiki ntamuibukia hukohuko kabla ya pasaka. Yeye si sadist bali ni mahalat mtamujeeeKasie, hongera bhana ila ulituacha njia panda na yule mjeda au na yeye ndo alikuwa kwenye plan ya masadist!!!!!!
Hahahaa wee nawee aka bingwa wa kudhani hehehehheOhooo....we Kasie utafanya watu wadhani mimi niko nawe huko bondeni.....
Hahahaaa hii kazi hadi ugongewe visa sio visa ya kuja south noop kibali cha kuzunguka mahali pengi bila kizuizi baada ya kula kiapo cha kutokutoroka au kuzamia nchi yoyote au kuukana uraia...... nahofia kama utaswihi kuhimili masharti......Nakutamania[emoji4]
Huitaji mtu wa kukusadia mabegi hata?