Ah sasa si niwe ata mbeba pochi wako tu[emoji17]Hahahaaa hii kazi hadi ugongewe visa sio visa ya kuja south noop kibali cha kuzunguka mahali pengi bila kizuizi baada ya kula kiapo cha kutokutoroka au kuzamia nchi yoyote au kuukana uraia...... nahofia kama utaswihi kuhimili masharti......
La kwa jinsi kijiwe kihivyo nimeambiwa niwe nasafiri na pochi tuu yenye vitu muhimu ikiwemo past ya kusafiria. Mabegi nguo nakutana nayo mahali ntakapokuwa nimeenda kikazi yaani nanunua. Ila makaa makuu ni south
Hahahahaa usijali one day yes.... Tatizo mtoa vibali sio mie ila wakikuleta kama mbeba pochi zangu poa tuu utakula shushu sana Kasie peace mnoo.Ah sasa si niwe ata mbeba pochi wako tu[emoji17]
Ha haa basi poa Kasie...Hahahahaa usijali one day yes.... Tatizo mtoa vibali sio mie ila wakikuleta kama mbeba pochi zangu poa tuu utakula shushu sana Kasie peace mnoo.
Nikikuchukua kinyemela likitokea la kutokea ntawajibika.......
Mmmmh, Sawa mamy hongera mnoHapana labda ulipitwa ni kuwa James alirudi Jeddah na ameahidi kurudi kipindi cha pasaka. Na kwa kijiwe changu kipya hiki ntamuibukia hukohuko kabla ya pasaka. Yeye si sadist bali ni mahalat mtamujeee
Nampenda sana James Jeddah ....... Wacha niishie hapa.
Muhumu tusallimie wa Rainbowz colour !!!Thanks Zamiluni,
Amen always and always. ....🙂🙂😉
Yeeeey[emoji126] [emoji126]Vale karibu mi na wewe hatudhuriani......
te te 'shemeji mchungaji'Okay mchungaji....
Hahahaah hivi sasa huna sifa ya kuwa Na Dada yangu, maana hutamlea vizuri una kondoo wengi...!!!te te 'shemeji mchungaji'