Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Sasa unataka akienda mlimani city aongee kiswazi?Mwaka mpya tumeuona, mdogo wako ananitoa macho huku, eti anataka shule ya kuongea kiinglish.
Sasa unataka akienda mlimani city aongee kiswazi?Mwaka mpya tumeuona, mdogo wako ananitoa macho huku, eti anataka shule ya kuongea kiinglish.
Sasa unataka akienda mlimani city aongee kiswazi?
Hahaha ma-aunt tupo, tutakuchangiaIla kweli, maana hata Double Tree akipata wasaa wa kukutana na Akili Kubwaz ni kilugha tu kinapigwa.
Itabidi nipitishe bakuli la mchango, jiandaeni.
Hahaha ma-aunt tupo, tutakuchangia
asante kwa kunitia moyo...nitapambana mpaka dakika ya mwisho...
Povuuuuu kwa mm naona amefanya ki2 cha maana kwanza kusimamaisha mjengo ambaoa hata wengi we2 hapa jamaii forum tunaweza 2siwe nao Hongera kwako dada kingine unajua umekariri kuwa eti m2 ukiwa na matatizo ndo unatakiwa ku share na wa2 kwan ili iweje.hata furaha pia BIG UP SANA MISS ROMBO KAZAAAAAAAmwanamke type yako kwangu hufai hata kuwa mke wa 4....sijaona umuhimu wa kuja kuonyesha mafanikio yako jf au labda unatafuta mwenza wakukupaulia na kukufanyia finishing
Mungu atutie nguvu sote [wewe+mimi+wapenda maendeleo]Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa afya njema na kuweza kuuona mwaka kwa amani,furaha na upendo.
Hii ndo tiba ya maumivu yangu ya mwaka 2016 niliyoamua kusimama nayo ambayo naamin itanipa furaha na heshima namshukuru Mungu hata kwa hapa nilipofikia maana changamoto za hapa na pale za mafundi wetu mnazijua .
Leo nimeamua kuwavunja ukimya walimu wenzangu nikawapitisha saiti nikawaambia hii ndo kazi ya mikono yang kuanzia mwaka 2016 niliyoianza .
"ukimwona mpole,mkimya huwezi jua hata kama anafanya vitu vya maendeleo hivyo"
Naweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu,asante Yesu kwa kunipa moyo na nguvu ya kuendelea na ujenzi..
Nihayo tuuu nimeona nisheee na nyie hata ukiachwa fanya maamuzi ya busara yatakayokupa furaha na heshima...fanya kitu cha maendeleo walimwengu washangae kuwa hata wew mwenyew unaweza kusimama bila 'bwana yule'