Lakshmii
Member
- Dec 19, 2016
- 80
- 82
Me nimesha like hongera sanalike yako hainisaidi chochote ...ila umeona ....
Me nimesha like hongera sanalike yako hainisaidi chochote ...ila umeona ....
mweeeeeeok hongera sana,
but ukiitaji fundi wa kukupaulia nipm

Hongera malkia wa nguvu. Mungu azidi kukutia nguvu hakika
Hongera banani mtazamo wako na sihitaji msaada kutoka kwa mwanaume hata senti.....lazima nishee na wenzangu wajue kuwa wakijibana wanaweza kufanya chochote cha maendeleo....
Heeee me sijabadili bana. Benny na daddy wapo kwa machaleee.Heri ya Mwaka Mpya, nilijua na wewe umebadili jina maana nimemwona Mama Mdogo, Mchumba Paulo wamebadili.
Ben na Daddy nawaona kwa nadra sana.
Heeee me sijabadili bana. Benny na daddy wapo kwa machaleee.
Heri ya mwaka mpya pia