binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 959
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa afya njema na kuweza kuuona mwaka kwa amani,furaha na upendo.
Hii ndo tiba ya maumivu yangu ya mwaka 2016 niliyoamua kusimama nayo ambayo naamin itanipa furaha na heshima namshukuru Mungu hata kwa hapa nilipofikia maana changamoto za hapa na pale za mafundi wetu mnazijua .
Leo nimeamua kuwavunja ukimya walimu wenzangu nikawapitisha saiti nikawaambia hii ndo kazi ya mikono yang kuanzia mwaka 2016 niliyoianza .
"ukimwona mpole,mkimya huwezi jua hata kama anafanya vitu vya maendeleo hivyo"
Naweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu,asante Yesu kwa kunipa moyo na nguvu ya kuendelea na ujenzi..
Nihayo tuuu nimeona nisheee na nyie hata ukiachwa fanya maamuzi ya busara yatakayokupa furaha na heshima...fanya kitu cha maendeleo walimwengu washangae kuwa hata wew mwenyew unaweza kusimama bila 'bwana yule'