Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
So nini ambacho unaona kitakufaa kwa sasa?
Kodi ya nyumba,
Nauli kurudi nyumbani
Hela ya umeme au ni nini?
Kodi ni kiasi gani na unadaiwa ya miezi mingapi?
Ushauri wangu:
Lipa kodi hata nusu tu alafu upate na kidogo ya kununua chakula ndani kisha ingia mtaani uhangaike, wakati huu usione aibu hata kupiga debe piga mradi unatafuta kwa halali. Kujifungia ndani na kusononeka sio suluhu mkuu.
Huo ndo ugonjwa wetu wabongo..tunapenda kushikwa mkono hata pasipofaa..!yaani dunia ya leo utegee rafiki akusaidie?wamebak wakuhesabu...mhhh kila mtu na mawazo yake aise
Kwani wewe huwezi kunisaidia Mkuu
kodi ni 180000So nini ambacho unaona kitakufaa kwa sasa?
Kodi ya nyumba,
Nauli kurudi nyumbani
Hela ya umeme au ni nini?
Kodi ni kiasi gani na unadaiwa ya miezi mingapi?
Ushauri wangu:
Lipa kodi hata nusu tu alafu upate na kidogo ya kununua chakula ndani kisha ingia mtaani uhangaike, wakati huu usione aibu hata kupiga debe piga mradi unatafuta kwa halali. Kujifungia ndani na kusononeka sio suluhu mkuu.
kodi ni 180000
nusu ni 9000
sina hata 5000 ya umeme kaka
matatizo mengine hadi raha coz naona kabisa kichwa kinachemka
Sent using Jamii Forums mobile app
hujaipitia kipind ka hichi n shukuru napitia mimi pengine we ungejiuaNamshangaa mtu una mikono miwili na miguu mi2 huna mtoto huna mke...!yaan dah...!
Usimshangae mamy, wakati mwingine ni malezi tuliyokulia, hayajatufunza kujitegemea na kukabiliana na changamoto za maishaNamshangaa mtu una mikono miwili na miguu mi2 huna mtoto huna mke...!yaan dah...!
Usimshangae mamy, wakati mwingine ni malezi tuliyokulia, hayajatufunza kujitegemea na kukabiliana na changamoto za maisha
mkuu pole sana sio wewe tu ata sisi uku tunakula maindi ya kuchoma tunalal sik zinaenda haya mapito tuHiki kipindi napitia maisha magumu sana
Nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi ya miezi mitatu
A 5000 ya umeme
Sina hela
Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina
Nipo mikoa ya mbali na nyumbani
Nimejifungia ndani nashindwa kutoka coz mama mwenye nyumba ni kivuruge na ananidai 5000
Nina mpenzi ambaye anajitahidi kufahamu kipindi ninachopitia ila bado hapati jibu coz i act as if sina matatizo
Nina siku mbili sijala kwa ridhaa yangu yaani nakula kwa kuibia
Natamani kurudi home nauli sina na naona ni udhaifu mkubwa kurudi kukaa na mama na am 24yrs old
Akili inachoka nahisi kuanguka
EEE MUNGU PAMOJA NA MAPITO HAYA NISIFIKIE KUKATA TAMAA
HAYA NI MADOGO KULINGANISHA NA WENZANGU
NISITAMANI KUJIUA
KWA AKILI YA KIBINADAMU UWEZO UNANISHINDA
NAKUOMBA MUNGU UTIMIZE HAJA ZA MOYO WANGUView attachment 1062423
hujaipitia kipind ka hichi n shukuru napitia mimi pengine we ungejiua
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu pole sana sio wewe tu ata sisi uku tunakula maindi ya kuchoma tunalal sik zinaenda haya mapito tu
Kama kweli, bas download application ya Premise kwenye simu then kuna kazi kibao za kujibu questionnaire na kupiga picha, ndani ya 24 wanakulipa,Hiki kipindi napitia maisha magumu sana
Nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi ya miezi mitatu
A 5000 ya umeme
Sina hela
Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina
Nipo mikoa ya mbali na nyumbani
Nimejifungia ndani nashindwa kutoka coz mama mwenye nyumba ni kivuruge na ananidai 5000
Nina mpenzi ambaye anajitahidi kufahamu kipindi ninachopitia ila bado hapati jibu coz i act as if sina matatizo
Nina siku mbili sijala kwa ridhaa yangu yaani nakula kwa kuibia
Natamani kurudi home nauli sina na naona ni udhaifu mkubwa kurudi kukaa na mama na am 24yrs old
Akili inachoka nahisi kuanguka
EEE MUNGU PAMOJA NA MAPITO HAYA NISIFIKIE KUKATA TAMAA
HAYA NI MADOGO KULINGANISHA NA WENZANGU
NISITAMANI KUJIUA
KWA AKILI YA KIBINADAMU UWEZO UNANISHINDA
NAKUOMBA MUNGU UTIMIZE HAJA ZA MOYO WANGUView attachment 1062423
sababu nilimchoka meneja
Dah...yaani eti ana unga ndani ..anakaa na njaa siku 3..anashindwa hata kupika uji ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww hakijachemka...ww huwez endesha pikpik kwan ukatafuta deiwaka??!au bajaj...!au pita majumban ushuani uombe vibarua au uombe kaz za kufua...
mkuu mimi sikushauri urudi hom ni bora ukakae kwa mshikaji aku escoti siku mbili tatu ila ukisema urudi hom kama una wadogo zako watakuona falaHiki kipindi napitia maisha magumu sana