Mungu nisifikie kukata tamaa

Mungu nisifikie kukata tamaa

Mr Never Mind

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
287
Reaction score
335
Hiki kipindi napitia maisha magumu sana

Nimefukuzwa kazi

Nadaiwa kodi ya miezi mitatu

A 5000 ya umeme

Sina hela

Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina

Nipo mikoa ya mbali na nyumbani

Nimejifungia ndani nashindwa kutoka coz mama mwenye nyumba ni kivuruge na ananidai 5000

Nina mpenzi ambaye anajitahidi kufahamu kipindi ninachopitia ila bado hapati jibu coz i act as if sina matatizo

Nina siku mbili sijala kwa ridhaa yangu yaani nakula kwa kuibia

Natamani kurudi home nauli sina na naona ni udhaifu mkubwa kurudi kukaa na mama na am 24yrs old

Akili inachoka nahisi kuanguka

EEE MUNGU PAMOJA NA MAPITO HAYA NISIFIKIE KUKATA TAMAA

HAYA NI MADOGO KULINGANISHA NA WENZANGU

NISITAMANI KUJIUA

KWA AKILI YA KIBINADAMU UWEZO UNANISHINDA

NAKUOMBA MUNGU UTIMIZE HAJA ZA MOYO WANGU
Da%20Enica%2020180905_010845.jpg
 
Rudisha mpira kwa kipa, nakumbuka kipindi hiki kilinikuta nilimpoteza mchumba wangu hivihivi nikarudi home wazazi wakanitia nguvu nikarudi town tena kupanga mashambulizi huwa ni nyakati za mpito tu kuna neema yaja mbele usikate tamaa.Kuna wimbo wa Psquare (jina siukumbuki) ulikuwa unanifariji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaitwa Bring it on
 
Pole.sana mkuu, usijitese kula uwe strong you still have a very bright future. Kipindi unachopitia ni sehemu ya changamoto za maisha, nakutia moyo urudi nyumbani tafadhali kwa muda huu unahitaji watu wako wa karibu watakupa joto na faraja. Wewe ni kijana mdogo sana bado una nafasi ya kwenda kujipanga upya na kuanza fresh. Kila la kheri mkuu
 
Kodi sasa itakuwaje..si vyombo vitataifishwa na maza hausi...mie nadhan akaze tu..asijifungie ndan..ukijifungia ndan na hela inajifungìa hukooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom