Mungu nisaidie nisifikie hatua hii!!

Sina hakika ila atakuwa bado yuko mlimani japo kuwa huwa anashuka mida ya jioni.

Kweli kaamua kuokoka mazima, mimi na Numbisa tumepanga Kwaresma ijayo tuokoke pia.

Sasa hivi tunamaliza maliza mambo ya ulimwengu, kuna nafasi mbili ziko wazi, kama unataka na wewe unaweza kujiunga.
 
Katika vitu ambavyo navizingatia katika maisha,
Hata nikigombana na MTU, pale tutakapotoka kwenda sehemu yoyote.nipo tayari kuficha hasira zote mbele za watu, na utashangaa ntakavyokuongelesha utadhani Hamna kilichotokea,
Hata uniudhi vipi. Ntavulimia tu mbele za watu kwa kuwa nawe sawa.kuna watu hawawezi ficha hisia zao mbele za watu. Pole yake mdada
 
Huu sio unafiki?
Yaani mtu kakuudhi unajichekesha mbele ya watu? Ili watu waone kuwa kila kitu safi?
 
Back
Top Bottom