Mungu nisaidie nisifikie hatua hii!!

Mungu nisaidie nisifikie hatua hii!!

hiyo tamaa uliyo nayo karibu wanaume wote wanayo, ndio maana huwa tukitongoza tunakuwa na juhudi sana, tuna fantasize maisha yale ya hadithi za Cinderella, ila wakati wa kuishi kwenye ndoa, hali huwa haiwi hivyo, zile moments za party, raha tu huisha mapema mno, kama ukizitumia vema, ndio zinazofuel maisha hasa wakati mambo yanapokuwa magumu!
maisha ya ndoa yanapaswa kuwa driven Zaidi na upendo, uhitaji na hulka ya kuthamini na kuheshimu utu! ukitawaliwa na mapenzi tu, siku yakipungua utu ndio utawaweka pamoja, kama ukiishi na mtu asiye na utu au wewe ukikosa utu basi hali itakuwa mbaya na utajuta kuoa/kuolewa!
Safi sana... Japo kuna MTU anasemaga hivyo!! Iila sasa
 
jamaaani[emoji275] [emoji275] roho inauma hayo ni zaid ya mateso
Mateso yapi? Jf bhana mtu kaleta stori hata hamjajua ukweli wowote mshatoa conclusion ya kusema mwanaume kamuonea mwanamke, wengine hamjaoa wala kuolewa subiri zamu yenu kama mnadhani ndoa ni kama hizo relationship zenu za kukutana hostel za chuo na mlimani city kula ice cream.

Ndoa ni shughuli nyingine bila uvumilivu hutoboi hata mwaka mmoja.
Wengine mnasoma vimadesa vyenu vya democracy na gender mkiingia kwenye ndoa mtajuaa[emoji23] [emoji23]
 
Chini ya ccm?hii ni ndoto mkuu
Iko siku watu watailaumu serikali kwa sababu za wake zao kushindwa kujituma kunako sita kwa sita, kila tatizo lako unasema sababu ni serikali huu ni uendawazimu sasa[emoji23] [emoji23]
 
Mateso yapi? Jf bhana mtu kaleta stori hata hamjajua ukweli wowote mshatoa conclusion ya kusema mwanaume kamuonea mwanamke, wengine hamjaoa wala kuolewa subiri zamu yenu kama mnadhani ndoa ni kama hizo relationship zenu za kukutana hostel za chuo na mlimani city kula ice cream.

Ndoa ni shughuli nyingine bila uvumilivu hutoboi hata mwaka mmoja.
Wengine mnasoma vimadesa vyenu vya democracy na gender mkiingia kwenye ndoa mtajuaa[emoji23] [emoji23]
tukishaingia tutaomba MUNGU aisimamie
 
Back
Top Bottom