Mungu nisaidie nisifikie hatua hii!!

Mungu nisaidie nisifikie hatua hii!!

watoto ndio huwa wanaumiza ukianza kuwaza wakimtaka baba au mama yao utafanyaje
Hilo ni sawa ila kikubwa wengi huogopa maisha ya peke yao.....tena wanahisi kukwama kiuchumi
Kuna bi dada yeye katika siku saba anaweza asipigwe siku mbili au moja yani ye ni kichapo daily, pesa ya mwanaume ni kodi tu vingine vyooote bi dada ni kazi yake siku moja alinambia "natamani kuondoka ila nitaishije, bora mwenzangu ye ana mshahara mimi je"
Niliwaza mengi
 
Inasikitisha sana...

Ila usilolijua ni kama usiku wa giza. Mpaka wamefikia hapo kuna mengi yanaendelea kati yao huyajui... Kila jambo hutokea kwa sababu...


Cc: mahondaw
 
Nakuonaaa
14482327_1329766507072298_5504241855316885504_n.jpg

Niko huku mlimani nawafanyia maombi wana ndoa
 
Back
Top Bottom