Mungu ni mwoga?

Mungu ni mwoga?

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
278
Ni kweli Mungu anaishi mbinguni sababu yeye mwenyewe anaogopa viumbe alivyoumba?
 
Mungu ni mwema tuongelee tu mambo yetu tusimhusishe sawa
 
Unaweza ukute ni kweli kama binadamu kitu ambacho walimfanya yesu haji kusahau maisha yake yote
 
Ni kweli Mungu anaishi mbinguni sababu yeye mwenyewe anaogopa viumbe alivyoumba?

Unaweza ukute ni kweli kama binadamu kitu ambacho walimfanya yesu haji kusahau maisha yake yote

Msipotoke....msipotoshe.. Kuna vitu Vina laana isiyofutika... Msidhalilishe imani inayotumainiwa na mamilioni, imani ambayo kwa uwepo wake ndio imewafanya nyie kuja na upuuzi kama huu
 
Hao wanaopotosha ukuu na utukufu wa Mungu hawana lolote zaidi ya kuringia uzima waliokuwa nao.
 
Mungu hadhihakiwi Kiluuj

Enzi hizo Mungu alikuwa akimtembelea Adam na kuzungumza naye ana kwa ana, lakini not anymore. Pengine ni kama kulea mbwa na awe mkali hata wewe mwenyewe uwe unamwogopa!
 
Last edited by a moderator:

May Allah forgive you
 
mshana jr pengine wanahoja ila wameiingiza vibaya..

Swali la msingi Mungu yuko wapi pamoja na kumuumba mwanadamu kWa mfano wake Ila amemwacha anatanga tanga,anakufa kwa dhiki,magonjwa,vita na ana angamia kwa kukosa maalifa.

Kwa nn anaruhusu kiumbe wake (mwanadamu) ateswe na nguvu za giza,mapepo na tamaa!,kwa nn ameruhusu shetani awepo anapotosha watu.

Je Mungu anaweza tengeneza Mtu kamili asiye na mawaa????!
Samahani mwalimu wangu Kama nimetopoka,ila nifunze zaidi
 
Habari nzima ya haya yote inaanzia bustani ya Eden hapo ndio penye kila jibu la maswali yako... Mengine yoote ni blahblah na Ujuaji tu wa bimadamu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom