Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
We acha ujinga. Mungu hajakuokoa na kifo, utakufa siku yako ikifika. Amekuokoa kwani hutokufa tena?
Sema tu umenusurika kufa kwa wakati huu.
 
Pole sana master ,kila kinachotupata ni kupata tu uzoefu wa haya maisha , ni swala la mda tu utarejea tena katika hali yako ya kawaida.
 
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

Pole sana mkuu,ni hali ya mpito,utarud kuwa fiti kama zamani
 
Wakuu,
Nashukuru Kwa Dua na maombi yenu hakika 99.9% mmekua faraja na mmeonyesha upendo mkubwa sana kwangu.

Nimekaa hospital tangu jumanne jioni jumamos mchana nikapewa discharge kurudi nyumbani currently nipo nyumbani nimekua mtu wa kujilaza tu..

All in all
As time goes nazidi imarika pressure yangu now imekaa normal maana Kuna muda mpaka mashine zilikua zinawaka Red alarm

Majanga,ajar, matatizo hayanaga ubaguzi au mtu special
Nipo na recovery japo na maumivu makali sana sometimes
 
Ndo maisha mkuu in shaa Allah utapona utarudi kwenye pirika zako

Ila jiangalie kwa upande mwengine kma kuna makandomakando unayafanya ni bora ukaachana nayo
 
Nivyema ukanipa mifano kadhaa ya makandokando unayo hisi yanaweza kua chanzo Cha ajar kama izi mkuu Kwa faida ya wengi...
 
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Pole sana ndugu yangu; Mungu akupatie faraja upone vizuri.
 
Wakuu,
Nashukuru Kwa Dua na maombi yenu hakika 99.9% mmekua faraja na mmeonyesha upendo mkubwa sana kwangu.

Nimekaa hospital tangu jumanne jioni jumamos mchana nikapewa discharge kurudi nyumbani currently nipo nyumbani nimekua mtu wa kujilaza tu..

All in all
As time goes nazidi imarika pressure yangu now imekaa normal maana Kuna muda mpaka mashine zilikua zinawaka Red alarm

Majanga,ajar, matatizo hayanaga ubaguzi au mtu special
Nipo na recovery japo na maumivu makali sana sometimes
Pole sana
 
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF

Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.

Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.

Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu

Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.

Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia

Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

pole sana mkuu, Ukiachana na mistakes ambazo sometimes huwa tunazifanya kwenye maisha yetu kwa kujua/kutokujua so God may use to punish us mara nyingi huwa ni spiritual battle ambayo makusudi yake huwa ni mawili tu KUKUUA au KUKATIZA KUSUDI LA MAISHA YAKO na mara nyingi huwa inatokea either kwenye mambo ya kazi (Vyeo) au mahusiano ( ndugu wa mtu uliyenaye kwenye mahusiano kutokukuridhia au mchakato wa kutaka kuoa/kuolewa).

Ila kwa kuwa upo hai ni ishara inayoonesha God still loves you
Cha kwanza angalia kama kuna kajisehemu uliteleza then talk to God and correct it kwasababu we re not completed by human kind.
Cha pili Be strong as a MAN and faith High ili upone haraka even though bone healing takes time but al least utaweza kuendelea na shughuli ndogondogo
Cha tatu kula vizuri, tumia dawa inavotakiwa na ibada kwa sana i believe utakaa sawa ila ukipona USIMUACHE MUNGU.

Nimezungumza by Experience not just thoughts.
 
Nakunukuu,

""pole sana mkuu, Ukiachana na mistakes ambazo sometimes huwa tunazifanya kwenye maisha yetu kwa kujua/kutokujua so God may use to punish us mara nyingi huwa ni spiritual battle ambayo makusudi yake huwa ni mawili tu KUKUUA au KUKATIZA KUSUDI LA MAISHA YAKO na mara nyingi huwa inatokea either kwenye mambo ya kazi (Vyeo) au mahusiano ( ndugu wa mtu uliyenaye kwenye mahusiano kutokukuridhia au mchakato wa kutaka kuoa/kuolewa"""

Asante Sana kwa muda wako na ushauri mzuri ulio Nipa nashukuru Sanaa
 
Back
Top Bottom