Mungu ni Muumbaji angalia aipendezeshavyo dunia

Mungu ni Muumbaji angalia aipendezeshavyo dunia

Mbege

Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
61
Reaction score
32
BZjoDgZCAAAu573.jpg:large
 
Yaani jinsi ndege walivyo na rangi nzuri
huwezi amini kama wamejipanga na
kupendeza mpaka raha.
 
aiseeeh...unaweza dhani wamepangwa hapo!
 
Baba, Mama na watoto wao
 
Wanasema ukitaka kujua ukuu wa Muumba basi uangalie hata viumbe na mazingira yaliyokuzunguka na utakubali huo ukuu. Tatizo letu shida zinatusahaulisha mengi na ndio maana mtu akijiona ana kalaki mfukoni anadhani yeye ndio yeye tu!
 
hii yote nikumfanya mwanae mpendwa binadamu afurahie na kumtukuza yeye kila siku kwa kazi ya mikono yake, hakuna kiumbe aliepewa thamani na Mungu kama sisi binadamu tunawashinda hata hao malaika,lakini hatuutambui uthamani huu
 
Halafu wao hawana habari kama wamependeza.... I must tell them

Ha ha ha ha !

Mkuu kweli maana ndege wenyewe hapo
hawajui kama wamependeza sio mbaya
ikiwa una namna nzuri ya kuwaambia
juu ya kupendeza kwao ili nao wajue hili.
 
Mimi nina Fobia ya hawa wadudu yaani nikimwona mwili una sisimka sana huwa nalia kama mtoto na ninabadili hata njia. Sijui ni kwa nini yaani ni bora nione nyoka huyu washawasha ananiondoleaga confidence na kuniachia fedheha kila nimwonapo.
 
Kwa haraka nilidhani washawasha kama wewe....
 
Back
Top Bottom