Mungu ni Muumbaji angalia aipendezeshavyo dunia

Mungu ni Muumbaji angalia aipendezeshavyo dunia

Mimi nina Fobia ya hawa wadudu yaani nikimwona mwili una sisimka sana huwa nalia kama mtoto na ninabadili hata njia. Sijui ni kwa nini yaani ni bora nione nyoka huyu washawasha ananiondoleaga confidence na kuniachia fedheha kila nimwonapo.

Hao ni ndege wamejipanga mkuu sio washawasha...
 
haya mambo zamani yalikuwa so abundant in a lot of variety. nakumbuka huko maeneo ya kuzunguka mbuga serengeti tulikua tukichunga na ukiwa mbali zaidi na mpaka wa marisho mabayo halikuwa hata hivyo hayafikiwi na watu kulingana na kuwa remote and wildy sana kuna mito mikubwa ndege, wanyama wadogo, kama sungura yaani raha sana. mandhali za kupendeza sana, kijani misitu asiri mizuri na uwanda wa wazi mkubwa. baasi nilikuwa nawasiliana na ndugu zangu wa zamani maeneo hayo. yaani wanakwambnia kote huko ni viwanja na majumba.Unaambiwa nyumbaza makazi zimejaa yaani kirumi mahali ambapo kumuona kiboko ilikua normal au chui au chatu, unaambia sijui muwekezaji kachukua heka kadhaa mara kata ya kirumi wananchi wanaandamana ( swahilini tayyaani pameshakuwa na mitaa ya uswahilini ndani yake)
 
Hii picha ni maarufu sana mtandaoni na inaitwa "A Caterpillar of Feathers"

Ukiingalia kwa haraka unaweza kudhani ni kiwavi aliye na manyoya lakini kumbe ni ndege waliojipanga kwa karibu karibu.
 
Mimi nina Fobia ya hawa wadudu yaani nikimwona mwili una sisimka sana huwa nalia kama mtoto na ninabadili hata njia. Sijui ni kwa nini yaani ni bora nione nyoka huyu washawasha ananiondoleaga confidence na kuniachia fedheha kila nimwonapo.

Kiongozi macho yako umeaacha nyumbani nini!! Au umeamua kujitoa akili kidogo!!
 
Back
Top Bottom