Mungu ni mmoja na hajaribiwi

Mungu ni mmoja na hajaribiwi

Sometimes you must HURT in
order to KNOW, FALL in order
to GROW, LOSE in order to
GAIN, because life's greatest
lessons are learned through
PAIN.
Alicia Taylor
 
Huyo mungu kwa nini kashindwa kulizuia hilo tetemeko lisitokee?

Au kalisababisha yeye?

Kama kalisababisha yeye, mungu gani huyo katili hivyo?
Mkuu umenena yote...kama nisingeona post ya aina hii, ningebandika mimi.

Nimewahi kusema hapa JF kama Mungu yupo basi ana makosa mengi sana.Kwa nini anashindwa kuzuia haya majanga asilia?

Kama ni yeye anasababisha, kwa nini anaua watu kikatili hivi?...Je huo uaribifu atafidia nani?

Bahati yake anaishi mafichoni( kama yupo), leo angekuwa na mashtaka kibao ya kujibu.
 
Malalamiko ya mleta uzi ni ya upungufu wa elimu juu ya tetemeko la ardhi na kupatwa kwa jua! Kasome kwanza jogorafia mkuu!
Mkuu hata mimi nimehisi hivyo.Kwa vyovyote vile huyu mtu hajui structure ya dunia.
 
Huyo mungu kwa nini kashindwa kulizuia hilo tetemeko lisitokee?

Au kalisababisha yeye?

Kama kalisababisha yeye, mungu gani huyo katili hivyo?
Cha msingi ni kumwamin na kumwabu huwaokoa na kila aina ya hatar wale wamwaminio.gharika ilitokea akampandisha nuhu kwenye safin.lakin pia cc sote tu wake huvuna kwa njia atakayo. Note mungu huwaadhibu watu na nchi isiyo na haki na yenye dhuruma kwa wanyonge maneno yako yanatosha kusababsha lingne kesho
 
Huyo mungu kwa nini kashindwa kulizuia hilo tetemeko lisitokee?

Au kalisababisha yeye?

Kama kalisababisha yeye, mungu gani huyo katili hivyo?
Kwanini useme ameshindwa, yeye ndiye aliefanya tetemeko liwepo, kwa kwa ajilli ya kutimiza matakwa yake, aidha kuwaonyesha nyie msiamini kuwa yupo, yeye yupo na ananguvu kuliko sayansi ambayo pia uwepo wake ni kwa matakwa yake. Sidhani kama wanasayansi ambao pia ni binadamu wenzetu wanapenda yatokee matetemeko ambayo wakati mwingene hata wao huadhiri, kwa kubokewa na majengo yao, wengine kupoteza ndugu jamaa na hata wao wenyewe. Kila kinachofanyika kwenye sayanzi Mungu alisha kionyesha zamani, wanasayansi wanafanya robo tu ya kitu ambacho Mungu alishayafanya zamani.
 
God is innocent till proven guilty.
Is God innocent? may be but he has committed lot of crimes like;
1.Killings of hundreds of thousands of Israelites in Sinai desert.

2.He ordered Israelites to conquer other's states during their exodus from Egypt.

3.Failure to prevent crimes when global population had only four people, as result Abel died.

4.Creating Satan,who ended up being the source of all evils after attempting coup d e'tat in Heaven.

5.He killed his own son, something worse which even a Mafia could not dare to do.

Mkuu is God still innocent?
 
Israel conquering other states that's biblical bushit and thats not the God I represent,The God I represent is not guilty till proven.
 
Kama Mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kwa nini aumbe ulimwengu ambao tetemeko la ardhi linawezekana na linaua mpaka watoto wasio na hatia wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayawezekani?

Unaweza kunijibu swali hili?
Nadhani pia baadae utauliza kuwa kama Mungu aliumba viumbe wake, kwa upendo kwanini wawe wanakufa na wanaumwa, wanafanya kazi ndipo wape kuendesha maisha yao.
Kwa ufupi tu yote yanayotokea, yanatokea ili kwa wanaamini wapate kumcha Mungu, isipokua shetani na wafuasi wake. Hata wewe nyumbani kuna wakati unawajibika kumchapa mwanao, ili kukumbusha kuachana tabia, na vitendo usivyotaka.
 
Usiniambie kuwa mpaka watoto wasioweza hata kuongea nao huenda kwa waganga kupiga ramli.. !
Sikusema watu wote na watoto hawaendi kwa mganga lakini ukisoma vitabu vinasema wakati wa kuangamizwa haichagui.
 
Umeona jinsi ambavyo hujajibu swali langu?
Kama Mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kwa nini aumbe ulimwengu ambao tetemeko la ardhi linawezekana na linaua mpaka watoto wasio na hatia wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao matetemeko ya ardhi hayawezekani?

Unaweza kunijibu swali hili?
Kwa ufahamu wangu mimi ulimwengu usiokuwa na matetemeko na maangamizo ni ulimwengu anaoishi Mungu na Malaika wake. Lakini huu ulimwengu wetu tumeletwa kwa majaribio ya nafsi zetu, sasa kuna wanaokumbuka na wasio kumbuka kama Mungu yupo. Hakika Mungu halaeti hadhabu mpaka kufuru zinapovuka mipaka. Jibu lako kuwa anao uwezo wa huu ulimwengu kuwa na amani mpaka mwisho wake lakini yeye ndie mwenye amri ya nini akifanye kwenye ulimwengu wake. Hivi wewe huwezi kubomoa nyumba yako au kuwaondoa wapangaji wako hata mukiwa na mkataba?
 
Mnamo tarehe 1 mwezi huu wa tisa kulitokea kupakatwa kwa jua, watalaam wa mambo ya kidunia walitabiri hili swala na kujionyesha wajuaji zaidi walitabiri mpk muda na sehemu pia,
lakini nimeshindwa kuelewa hawa wanaojiita wanasayansi mbona hawakutuambia kuhusu tetemeko la ardhi kwamba litatokea lini na wapi na muda pia?
nadhani sasa ni wakati wao kuamini MUNGU yupo.

You have no scientific thinking in you,
 
Nimezaliwa na kulelewa kwenye familia ya Kikatoliki lakini si muumini wa imani yoyote ile ya kidini.

Mimi ni agnostic.
chukua muda wako soma kuhusu uislamu nao uufahamu kwa undani acha maneno ya kusikia kuwa uislamu uko hv na vile,au uwe unaangalia Utube search my road to islam
 
1473564955398.jpg
1473564973371.jpg
1473564985482.jpg
1473565004982.jpg
1473565110073.jpg
 
Mimi simuigi mtu.

Nina misimamo yangu tokea zamani tu.

Nakusikitia sana kutokumwamini Mungu polee sana ndugu yangu. Elimu ya dunia imekupotosha alaaniwe aliekujaza information zilikuharibu moyo wako na nafsi yako kuingia kwenye njia isio sahihi.

Jaribu kuwauliza waliokulisha mbegu mbovu kuwa kunamadhara gani ukimwamini Mungu?
 
Back
Top Bottom