Mungu ni mmoja na hajaribiwi

Mungu ni mmoja na hajaribiwi

Tatizo si kutojua sababu ya maamuzi tu.

Unaweza kuona baba kamwambia houseboy asafishe gari Jumanne, wakati kawaida gari linaoshwa Jumapili.

Usijue sababu ya kwa nini baba kaamua hivyo. Hilo halina ajabu sana. Kwa sababu inawezekana kuna sherehe baba anaenda.

Tatizo linakuja unaambiwa baba mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote anapoamua kukataa watoto wake asisome shule, kuwaletea magonjwa bila ya kuwapa dawa, na kuwaachia wafe wakati anaweza kuwaponya. Tena anaachia ajali zinazozuilika zitokee na kuua hata vitoto vyake vichanga.

Ukiambiwa kuna baba huyo, na ni baba mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote utakubali hilo?

Huoni kwamba habari hii inajipinga?
Nimekujibu pale uliposema, kama sijui sababu za Mungu kufanya jambo fulani basi simjui, tafsiri ambayo tofauti sana na Lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Na nimekuuliza je mtoto asipojua maamuzi ya babayake, huyu mtoto atakua hamjui Babayake? Na hii haijalishi maamuzi ya jambo jema au baya, unachotakiwa kujibu ndiyo au hapana, sioni kama inahitaji maelezo ambayo umeyaweka hapa.
 
Mtoto asiyejua maamuzi ya baba yake yametokana na nini hamjui baba yake vizuri.

Kwa mfano, baba ana hela (Mungu ana uwezo wa kuzuia maovu) lakini hataki kumpa mtoto hela (lakini Mungu hakuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani).

Mtoto atajuaje kwamba huyu baba ni baba yake kweli (watu watajuaje kwamba huyu Mungu ni Mungu at all?)

Inawezekana huyu baba hataki kutoa hela kwa sababu anajua si baba wa mtoto (inawezekana huyu anayeitwa Mungu Mungu hataki kuzuia maovu kwa sababu si Mungu)

Inawezekana huyu ambaye mtoto anafikiri ni baba, hata si mtu, ni picha ya video tu (inawezekana huyu anayeitwa Mungu hayupo kikweli, ni hadithi tu).

Kwa nini unatetea kitu ambacho huwezi hata kukielezea?
 
Mtoto asiyejua maamuzi ya baba yake yametokana na nini hamjui baba yake vizuri.

Kwa mfano, baba ana hela (Mungu ana uwezo wa kuzuia maovu) lakini hataki kumpa mtoto hela (lakini Mungu hakuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani).

Mtoto atajuaje kwamba huyu baba ni baba yake kweli (watu watajuaje kwamba huyu Mungu ni Mungu at all?)

Inawezekana huyu baba hataki kutoa hela kwa sababu anajua si baba wa mtoto (inawezekana huyu anayeitwa Mungu Mungu hataki kuzuia maovu kwa sababu si Mungu]

Inawezekana huyu ambaye mtoto anafikiri ni baba, hata si mtu, ni picha ya video tu (inawezekana huyu anayeitwa Mungu hayupo kikweli, ni hadithi tu).

Kwa nini unatetea kitu ambacho huwezi hata kukielezea?
Unaposema huyu anajita Mungu sio Mungu, kwako wewe neno Mungu lina Maana gani?
 
Ibilisi anaendelea kuzaa watoto na wana majina mbalimbali wengine waitwa nyani ngabu nk.
 
Unaposema huyu anajita Mungu sio Mungu, kwako wewe neno Mungu lina Maana gani?
Mungu ni dhana, hayupo.

Ni dhana kwamba kuna anayeweza yote, anayejua yote na mwenye upendo wote ambaye ameumba ulimwengu huu.

Ni dhana tu na hayupo kwa sababu dhana yenyewe inajipinga.

Dhana inajipinga kwa sababu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingeumba ulimwengu wenye kuruhusu maovu kama huu. Hii ni contradiction. Ni kama useme pembetatu haiwezi kuwa duara na duara haiwezi kuwa pembetatu, halafu useme kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara.

Haiyumkiniki.

Mungu hayupo, ni kitu kinaitwa "imagined reality".

Hili si jambo baya by default. Kuna watu wanatetea dhana ya kuwepo Mungu hata baada ya kujua hayupo kwa sababu wanasema ni njia nzuri ya kuwafanya watu waishi kwa order.

Lakini hilo halifanyi Mungu awe yupo kama vile mstari wa Greenwhich unaopita Accra na London, ambao unatumika kama katikati ya dunia katika kupima masaa, usivyo katikati ya dunia.
 
Ni imani yako siwezi ipinga, kama wewe unaepata kazi ya kupinga kitu wanachoamini, na serikali imeruhusu kuamuni. Na nitaendelea kuamini Mungu yupo na kanipa akili utashi wa kujua ovu na zuri, na pia nitaendelea kuamini kuwa pasi Mungu pana shetani na watoto wake, inawezekana wewe ukawa mmoja wao, na napenda nikuhakikishie kamwe hutonibadilisha msimamo wangu wa Kiimani.
 
Ni imani yako siwezi ipinga,

Huwezi kupinga si kwa sababu ni imani yangu, bali kwa sababu huna argument ya kupinga.

kama wewe unaepata kazi ya kupinga kitu wanachoamini, na serikali imeruhusu kuamuni. Na nitaendelea kuamini

Nani kakwambia napinga kuamini? Unapata wapi uongo huo?

Mungu yupo

Unaweza kuthibitisha kwamba Mungu yupo?

na kanipa akili utashi wa kujua ovu na zuri,

Una hakika kwamba akili na utashi vimetoka kwa Mungu? Unaweza kuthibitisha?

na pia nitaendelea kuamini kuwa pasi Mungu pana shetani na watoto wake,

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao shetani anaweza kuwepo wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao shetani hawezi kuwapo?

Hujajibu swali hili.

inawezekana wewe ukawa mmoja wao, na napenda nikuhakikishie kamwe hutonibadilisha msimamo wangu wa Kiimani.

Kwanini Imani iwe issue wakati unaruhusiwa kuamini hata mti ni Mungu wako?

Nani kakwambia anataka kukubadilisha Imani yako?

Hivi unaelewa mjadala huu unahusu nini au unajiendea tu?
 
Mnamo tarehe 1 mwezi huu wa tisa kulitokea kupatwa kwa jua, watalaam wa mambo ya kidunia walitabiri hili swala na kujionyesha wajuaji zaidi walitabiri mpaka muda na sehemu pia.

Lakini nimeshindwa kuelewa hawa wanaojiita wanasayansi mbona hawakutuambia kuhusu tetemeko la ardhi kwamba litatokea lini na wapi na muda pia?
Nadhani sasa ni wakati wao kuamini MUNGU yupo.

Haya ni matamahuluku....

Mtu ambae hajui A wala Be ya science ni matatizo sana.

Sayansi inaposhindwa kitu hua inakubali,science haijawahi ku-claim kujua kila kitu...infact experiments zinaendelea mpaka jawabu lipatikane...na hua tunafanya maboresho always and always...hatujawahi ku-claim utakatifu or of being unchallengeable...challenge kwa undisputable experiments..

Kwa siku tatu sasa,kupitia mass media wananchi wanaelimishwa hakujavumbuliwa chombo mahususi cha kudetect tetemeko in real time..sasa wewe sijui upo chooni hujasikia?
 
Baada ya tu ya kuona umeniquote nikajua kuna ugoro umekuja kuandika huku na bahati uliyoyaandika yote wachangiaji wa mwanzo wameshayatolea majibu ukiachana na hayo unafahamika pia kuwa wewe ni mmoja wapo wa wapinga krist,
Try again later
 
Kutokuwepo kwa chombo cha kupima tetemeko in realtime kuna uhusiano gani na Mungu?

Hakuna whatsoever...hii threat inakosa basis,ifutwe!
 
Kuna miungu wengi sana hapa Ulimwenguni, nashangaa kuona maandishi kama vile mungu ni mmoja, mara mungu ni huyu au yule, nk. Pointi itakayomaliza ubishani hapa ni kwa kila mmoja wetu kufafanua juu ya huyo mungu wake anayemuabudu. Mfano Mungu wangu ni yule wa Yakobo, Elia na Ibrahimu, huyo ndiye ninayemtambua kama Mungu.
 
Back
Top Bottom