Mungu mkubwa......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu mkubwa.........

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by St. Paka Mweusi, Sep 13, 2012.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu wana chit chat,jioni ya jumapili kuamkia j3 kama saa mbili usiku nikiwa kwenye baiskeli yangu nilipata bahati mbaya na kujikuta kwa bahati mbaya naingia kwenye njia ya Tram na kupoteza balance,hali iliyosababisha kuanguka na kupoteza fahamu.Nashukuru nilichukuliwa na Ambulance na kufikishwa hospitali ambapo nilipumzishwa na kuruhusiwa siku ya jumatatu mchana na nimekuwa katika mapumziko na kusaidiwa na dawa za kupunguza maumivu,na hali sio mbaya sana japo nina maumivu kidogo katika upande wa kulia..
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Pole sana! Mungu ni mwema wakati wote!
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Nashukuru mkuu,hapa nauguza mbavu za upande wa kulia...
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Pole mtakatifu!
   
 5. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole mwaya Mungu akuponeshe haraka
   
 6. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pole sana, ila nahc maumivu kidogo yamepungua.
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ayaa!!
  Ilibaki kidogo tu nipajue kwenu.
  BTW pole sana Mkuu Mtakatifu.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  pole switiii.....umemaliza dawa....? unywe na maji mengi eeeh.......
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Asante sana ni kweli maumivu yamepungua ndio maana unaniona hapa mida hii
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Switiii bado ninatumia Tramadol, nadhani nitamaliza baada ya wiki moja na nashukuru kwa ushauri nitajitahidi kunywa maji mengi....Usisahau lakini......................
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  siwezi kusahau switiiii.....pona kwanza......
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,215
  Likes Received: 10,564
  Trophy Points: 280
  Ugua pole .
   
 14. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Haya msiri wangu.
  Ila nawe ujitahidi kuvaa helmeti hata kama uko ktk Bicycle!
   
 15. data

  data JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,799
  Likes Received: 6,579
  Trophy Points: 280
  Preta hvyohvyo mpe maneno laini apone..
  Bila shaka aliyamiss
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Kujiamini kubaya sana kuanzia sasa navaa Helmeti hata kama naenda kwa Jirani..
  Msalimie ruttashobolwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hapo ndio huwa nazidi kuchanganyikiwa.............
   
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Haya uwe unaikumbuka.
  Rutta yupo hapa anacheki Malumbano ya Hoja/Mdahalo.
  Msalimie wifi.
  Ila cjui ni nani!
  Maana humweki hadharani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Naogopa kumweka hadharani Preta wangu atabadili mawazo..hahahahahahah
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Kama anakupenda,
  Hatobadili mawazo Katu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...