Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

Wazungu wamewaharibu watu vichwa........namsubiri GT aamke anijibu kama anaanimi uwepo wa Mungu analikwepa swali hili.
 


Kwa Ma-earthist wote na Wapenzi wa Dunia,

PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST?

 


Kwa Ma-earthist wote na Wapenzi wa Dunia,

PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST?

Hilo ndilo swali ambalo hawawezi kujibu wanazunguka mbuyu na theory zao walizochukulia PhD.......
 
Wazungu wamewaharibu watu vichwa........namsubiri GT aamke anijibu kama anaanimi uwepo wa Mungu analikwepa swali hili.



GT amekimbia, kama yupo East Coast basi sasa hivi ni saa 10.09PM, Kama yupo West Coast bado ni mapema sana.

Jamaa hana jibu na kakimbia. INACHOTAKIWA, YEYE ALETE USHAIDI HAPA KWAMBA "GOD DOES NOT EXIST"


 
Last edited:
.....jazba imetoka wapi hapo wewe au na wewe ni AKA God soldiers mnaoamini mungu ni wa bible tuu na sio talebani!



I don't believe in Taleban Fusionist Evil Allah.
 
...you suck nenda kalale na huna tofauti na hao unaowaita evil!


Nilifikiri unakunywa bia. Naona juisi ya pilipili inafanya kazi.

Punguza jazba bana. Acha tukana bana.

 

Naona Ma-earthiest wote wamekimbia huku povu zikiwatoka mdomoni na matusi kibao.

Ha hahah ahah ahaha ahahaha

I WANT PROOF FROM ALL EARTHIEST THAT GOD DOES NOT EXIST. TETEENI IMANI YENU YA UPENZI WA DUNIA NA MITI ILIYO NDANI YAKE.

 
Last edited:
Naona thread imebadilika kabisa. Max, fanya kitu kimoja; wathibitishie kwamba Mungu yupo.
 

Game Theory:
Looks like you are a scientist, and possibly a great one!
It is obvious and evident that you do not believe in the existence of God; I myself do (refer to my previous post).
Now can you counter-argue my argument with SCIENTIFIC EVIDENCE? I provided you with all the EMPRICAL EVIDENCE AS REGRADS GOD'S EXISTENCE, can you provide evidences against? You know the key thing is:

1. IF YOU DO NOT BELIEVE IN THE EXISTENCE OF GOD, THE PROVE BY PROVIDING EMEPRICAL DATA/TANGIBLE EVIDENCE

2. SIMILARY, IF YOU DO; YOU ARE OBLIGED TO DO THE SAME.

I gave you more than enough yesterday, so please, do the needful. Logically, we agreed that a thing such as a chair can not be made out of one's effort. At the moment you are talking of a force, which must necessarily be the work of some "Highest Powers", whose powers?

You provide me with a satisfactory, genuine answer, I give you the highest credits ever, possibly similar to those of Albert Einstein, Plato, Aristotle, Galileo Galilei, etc.
 
Watu wanaoishi nchi zisizo na njaa, maradhi, ajali za kijinga za barabarani, kipindupindu, dhiki, kipato kidogo na kadhalika wanakuwa wepesi sana kusema hakuna Mungu!

Ila ukijiuliza maswali mengi Kisayansi halafu ukakosa majibu, basi hapo ndipo uwepo wa Mungu unapoingia!
 
relax Bible is just a story thats why utaona ipo ya Kijaluo, kuhindi, Kinge James version na kadhalika

BTW

Please provide some contemporary evidence that Jesus of Nazareth existed.

Mkuu unaelekea kujichanganya wewe mwenyewe!

Thread ni "MUNGU KWENYE NYMBO YA TAIFA WHY?"

naona unaelekea kwenye Yesu Yupo? nini hasa unahitaji? uwepo wa Mungu au uwezo wa Yesu? hapo unaelekea kwenye kuziongelea dni na sio Mungu as Mungu.

Tunaomba ujibu watu waliokuuliza kuwa Unaamini Mungu yupo? if yes tuendelee na mada if No, tuendelee na mengine.
 

Kumbeeeeee!

kweli aliyeanzisha fumbo alikuwa ana akili sana!

washikaji mmeanzia mbaaali ili mje kwenye point mliyotaka kuisema. fina shaka sana na imani yako, umeiweka wazi hapo. Kumbe tatizo lako ni ofisi za serikali kupambwa kwa miti ya Krismas? au tatizo lako watu kwenda kufturu Ikulu?, au tatizo lako ni neno Mungu kuwa kwenye wimbo wa Taifa? sema kama tatizo lako linalokukera ni uwepo wa dini lakini usikerwe na dini kama unamkubali Mungu, mkane kwanza Mungu ndio uzikatae dini.

Lakini Muda sio mrefu utaanza kulalamika kuwa kwanini rais ni Muislamu na Makamu wake pia ni Muislamu, na asilimia kubwa ya viongozi wa kamati kuu ya ccm ni waislamu, au? Ukishafika huko fahamu utakuwa umetoka nje ya topic hii inayoshangaa uwepo wa Mungu ktk wimbo wa taifa, utakuwa unaelekea kwenye kuzichamgua dini. na hapo utakuwa tayari umemkiri Mungu ambaye unamshangaa kwenye wimbo wa taifa. kwani hauwezi kuichambua dini kabla haujamkubali au kumkataa Mungu kwanza!
 
Koba hujajibu swali langu..mbamn akuwa wagumu kukiri wazi?

Je unaamini uwepo wa Mungu bwana Koba..

GT swali bado linakusubiri na wewe...Je bwana GT unaamini uwepo wa Mungu?
 

I mean what exactly are you referring to, naona kama you have something to say BUT you don't know where it fits..


Does your post related to what I've been addressing? Nimeisoma ya hapo juu pia ulijaribu kuniadresia naona sipati picha yeyote..

Dah, kusema IQ inakuwa reduced kwa kuamini in Bible..is itself a fallacious argument..


Sasa cheap thrower of illogical arguments, now wants to question the Almighty? Huku si ndo kuvamia msitu na wembe?


Hysteria testing is needed herre..


Abdulhaleem al Masih
 
Last edited by a moderator:
GT kakimbia.....kayataka mwenyewe.....jibu swali.....unaamini uwepo wa Mungu bwana GT?
 
Koba hujajibu swali langu..mbamn akuwa wagumu kukiri wazi?

Je unaamini uwepo wa Mungu bwana Koba..

GT swali bado linakusubiri na wewe...Je bwana GT unaamini uwepo wa Mungu?

Koba is too dumb...he can't answer such questions....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…