Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 906
Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa.
Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa?
Najua kama watanzania wanayohaki ya kuwa na dini wanazotaka lakini hamuoni kama hii ni hatari kwa wale wasiamini Mungu?
Chukulia wewe ni mzazi na huamini mambo ya dini halafu unampeleka mwanao shule kule ataimbishwa nyimbo ya taifa wee mpaka anamaliza primary sasa hamuoni kama huku ni kumlazimisha mtu aamini jambo ambalo hakuna aliyethibitisha kama lipo? yaani hii ni doctrination mbaya sana ? Hlafu mnashangaa kwa nini hatuendelei
Nadhani its time tukabadili nyimbo ya taifa halafu hawa ma religious nutjobs wakikataaa tukaburuzane mahakamani
Sometimes we have to stand up for something badala ya kufuata mkumbo
Its really sad wanavyowadoctrinate watoto wadogo mashuleni kuwafanya waamini kitu ambacho no one has ever proved that it exist
nawasilisha hoja and yes i dare be different kwenye hili unless kuna mtu anahoja ya kuniconvince otherwise
GT, hapo juu kwenye wekundu, ni maendeleo gani unayomaanisha, waweza fafanua zaidi tafadhali?!...
SteveD.
Kwanza jibu hoja ya msingi kisha hicho kipande tutakicheki baadae
Marx had it best, religion is the opium of the hoi polloi, so the statist and intelligentsia (Nyerere, Mwinyi et al) presented themselves as ultra religious while their level of education afforded them the scope to realize the god idea is just hogwash based in some ancient mythology, mainly designed to oppress and keep the oppressed in check.
This is indeed a tall order for Tanzania, think about how the "Brights" movement in America, with it's champions The Mahers and Hitchens of this world, is not sufficient to discredit the supersistious tradition imprinted on the dollar bill "In God We Trust".
Some learned advocates of the god idea, profess their knowledge of the instrumentality nature of the whole charade, in other words, they do acknowledge realizing that god does not exist but his fabrication is claimed to be the necessary evil prerequisite to preserve order and stipulate people to do good for fear of going to hell and incentive of going to heaven.I say this is the greatest insult to man's intelligence, that if you believe that man cannot be moral except by coercion and by being bamboozled with a predicament of sulphur and brimstone, and bribes of of heaven, then you are probably being an enabler in incapacitating man to do good for the sake of good, and to do good because it is the humane thing.
Here two of my favorite lyricist come to mind to succintly sum this whole thing up.
First Bob Marley in "Get Up, Stand Up"
Preacherman, dont tell me,
Heaven is under the earth.
I know you dont know
What life is really worth.
Its not all that glitters is gold;
alf the story has never been told:
So now you see the light, eh!
Stand up for your rights. come on!
The The Notorious B.I.G in "Suicidal thoughts" (may be too much to some of y'all, but liberating from this god nonsense anyway)
When I die, fvck it I wanna go to hell
Cause I`m a piece of shit, it ain`t hard to fvckin` tell
It don`t make sense, goin` to heaven wit the goodie-goodies
Dressed in white, I like black Tims and black hoodies
God will probably have me on some real strict shit
No sleepin` all day, no gettin my dick licked
Hangin` with the goodie-goodies loungin` in paradise
Fvck that shit, I wanna tote guns and shoot dice
God is a myth that has held back progress more than anything else!

Again, what progress? When and where do you have a referential point for such progress?!
SteveD.
Unajua kuna siku moja nilicheka sana....kuna mtu kazini alikuwa akibisha sana kuwa hakuna Mungu hapa duniani. Sasa siku moja...ilikuwa Jumamosi na kulikuwa hakuna watu wengi kwenye jengo la ofisi. Jamaa akatoka kwenda kuchukua maji kwenye watercooler breakroom. Sasa mimi nikanyatia nyuma nyuma halafu nikajibanza kwenye kakona flani hivi ambako hakuweza kuniona wala kujua kuwa kuna mtu kajificha pale.
Basi alipotoka break room kurudi ofisini, alipofika pale nilipokuwa nimejibanza na kupita kidogo mimi nikatoka na kumfuata nyuma na kubwaka kama mbwa....hehehehehe....jamaa alipiga mayowe ya kila aina ikiwemo "oh my God"....ahahahahahaha....nilicheka sana. Sasa kama haamini kama kuna Mungu kwa nini alisema "oh my God"...?
Chukulia wewe ni mzazi na huamini mambo ya dini halafu unampeleka mwanao shule kule ataimbishwa nyimbo ya taifa wee mpaka anamaliza primary sasa hamuoni kama huku ni kumlazimisha mtu aamini jambo ambalo hakuna aliyethibitisha kama lipo? yaani hii ni doctrination mbaya sana ? Hlafu mnashangaa kwa nini hatuendelei
Unajua kuna siku moja nilicheka sana....kuna mtu kazini alikuwa akibisha sana kuwa hakuna Mungu hapa duniani. Sasa siku moja...ilikuwa Jumamosi na kulikuwa hakuna watu wengi kwenye jengo la ofisi. Jamaa akatoka kwenda kuchukua maji kwenye watercooler breakroom. Sasa mimi nikanyatia nyuma nyuma halafu nikajibanza kwenye kakona flani hivi ambako hakuweza kuniona wala kujua kuwa kuna mtu kajificha pale.
Basi alipotoka break room kurudi ofisini, alipofika pale nilipokuwa nimejibanza na kupita kidogo mimi nikatoka na kumfuata nyuma na kubwaka kama mbwa....hehehehehe....jamaa alipiga mayowe ya kila aina ikiwemo "oh my God"....ahahahahahaha....nilicheka sana. Sasa kama haamini kama kuna Mungu kwa nini alisema "oh my God"...?
hiyo ni catchphrase tuu ambayo mtu yoyote aliyezoea anaweza kusema
nadhani its time tukaanza kuondokana na haya mambo ya kuwalazimisha watoto waimbe nyimbo ya Taifa mashuleni
surely kama wanataka wananchi wawe patriotic then watekeleze ilani za uchaguzi na si kutulazimisha kumuimba mungu ambaye hakuna aliyeprve kama ana exist or not
... story of Nyani McCain...ha ha ha! lol
... Mimi nafikiri kupiga makelele kama hayo 'oh my God' ni mazoea tu ya mwitikio wa tukio fulani hivi.
... Imagine kama mtu huyo anayesema kuwa haamini angekuzwa katika mazingira fulani hivi bila kusikia hilo neno 'oh my God', na badala yake angekua akisikia 'toooka' ku replace hiyo 'oh my God'
.... Sasa je, huoni pale ambapo ulipomtisha angeweza kabisa kupiga mayowe akisema 'toooka' 'toooka' ' toooka' badala ya hivyo alivyosema na kuendelea ku-maintain kuwa haamini kuna Mungu hivyo kuleta disconnection katika hiyo correlation kati ya kusema 'oh my God' na kuamini Mungu kama vile ulivyomaanisha?!