Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,995
- 146,320
Kwani wapi nimekupangia?Sasa usinipangie jinsi ya kuandaa uzi
Nakwambia tu you are full of bullshit.
Kwani wapi nimekupangia?Sasa usinipangie jinsi ya kuandaa uzi
Hata wewe ni full of bullshitKwani wapi nimekupangia?
Nakwambia tu you are full of bullshit.
Umeshindwa kuonesha wapi umebaki kugeza tu.Hata wewe ni full of bullshit
Nikuonyeshe ili iweje Jehova yupo na ninamwamini sihitaji kuprove kwako wewe kama nani, ishi maisha uliyoyachaguaUmeshindwa kuonesha wapi umebaki kugeza tu.
You are full of bullshit kwa sababu unasema mambo ambayo huwezi kuthibitisha, kama uwepo wa Jehovah.
Unataka udhibitisho gani. Wewe mwenyewe kuishi ni udhibitisho tosha. Angalia anga na nyota zake. Yote hayo ni udhibitisho tosha kwamba Mungu yupo. Mifumo yote ya mwili wako tangu yai kutungwa kwa mama mpaka sasa unaishi huwezi kuona maajabu ya Mungu.Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli na si hadithi za watu tu.
Kuamini unaruhusiwa kuamini chochote unachotaka. Mradi usivunje sheria.Nikuonyeshe ili iweje Jehova yupo na ninamwamini sihitaji kuprove kwako wewe kama nani, ishi maisha uliyoyachagua
Sio lazima nijibu maswali hakuna kipengele kinachosema mtu akileta habari jf lazima athibitishe ni hiari ya mtu, acha upotoshajiKuamini unaruhusiwa kuamini chochote unachotaka. Mradi usivunje sheria.
Na mtu akikusumbua kuhusu unachoamini mwenyewe, mimi nitakutetea, kwa kuwa naelewa una haki ya kikatiba ya kuamini unachotaka, haki hii inatambuliwa kama sehemu si tu ya katiba ya nchi, bali pia ya "Universal Declaration of Human Rights" tangu December 10 1948.
Lakini, ukija JF na kuongelea imani yako kama fact, umejivua kinga ya kuachwa kwenye imani, umeingia katika mijadala ya kisayansi, kisiasa na kifalsafa.
Na hapo ndipo utakapohojiwa.
Umesema Yehova? Unaweza kuthibitisha huyo Yehova yupo kweli au unalisha watu matango pori tu?
Kama unataka kuamini baki na imani yako kwako nyumbani au kanisani.
Ukianza kuhubiri dini yako hapa JF unaalika maswali na kuombwa uthibitisho ni jambo sahihi.
Msingi wa kumuamini Mungu ni Imani, kama huna Imani ya Mungu mintakithibitishiaje, hata Yesu alitumia miujiza kila kitu lakin hakumwamini na ipo kwenye dini zoteUnataka udhibitisho gani. Wewe mwenyewe kuishi ni udhibitisho tosha. Angalia anga na nyota zake. Yote hayo ni udhibitisho tosha kwamba Mungu yupo. Mifumo yote ya mwili wako tangu yai kutungwa kwa mama mpaka sasa unaishi huwezi kuona maajabu ya Mungu.
Zaburi 53:1
Mpumbavu husema moyoni, Hakuna Mungu; Ni wafisadi, na wametenda mambo ya kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
Mkuu huu ni ugonjwa. Alieleta mafundisho ya dini afrika ndo aliesababisha yote haya kwa mwafrika. Watu wana reason on religion bases badala ya kutumia logicTatizo la Watanzania tunapenda kujadili vitu tusivyovijua. Sasa hizo hadithi za kutunga tulizoletewa na wazungu tunaanza kuhusisha na real world events.
Tujipambanue.
Upotoshaji ni kuleta habari ambazo huwezi kuthibitisha, halafu ukiulizwa uthibitisho unakimbia.Sio lazima nijibu maswali hakuna kipengele kinachosema mtu akileta habari jf lazima athibitishe ni hiari ya mtu, acha upotoshaji
Ndio ni upotoshaji achana nayo kwani ni lazima kila habari uthibitishiwe, au umeshikiwa fimbo uisome au kaireport kwa mod ifutwe we jamaa mshamba kweliUpotoshaji ni kuleta habari ambazo huwezi kuthibitisha, halafu ukiulizwa uthibitisho unakimbia.
Katika saikolojia kuna kitu kinaitwa projection.
Hii ni tabia ya kumpa mtu mwingine tabia yako mbaya.
Kwa mfano, mwizi kuita wengine wezi, hiyo ni projection. Anachukua tabia yake, anai project kwa wengine.
Hapa ndicho ulichofanya.
Psychological projection.
Wewe ni mpotoshaji.
Halafu umeniita mimi mpotoshaji kwa psychological projection.
Ushamba ni kujamba ushuzi mchafu halafu watu wakikuambia umejamba umechafua hewa, unawalaumu hao watu kwa kuwa pua zao zimeingilia uhuru wa matako yako kujamba.Ndio ni upotoshaji achana nayo kwani ni lazima kila habari uthibitishiwe, au umeshikiwa fimbo uisome au kaireport kwa mod ifutwe we jamaa mshamba kweli
Jamii forum watu hawajambi Bali wanapost habari ni platform ya watu kupost vitu walivyo navyoUshamba ni kujamba ushuzi mchafu halafu watu wakikuambia umejamba umechafua hewa, unawalaumu hao watu kwa kuwa pua zao zimeingilia uhuru wa matako yako kujamba.
Ndicho unachofanya hapa.
Post nyingine kama zako ni ushuzi tu.Jamii forum watu hawajambi Bali wanapost habari ni platform ya watu kupost vitu walivyo navyo
Sawa ni ushuzi achana nayoPost nyingine kama zako ni ushuzi tu.
Unatujambia, tukikuambia hapa umejamba, unatulaumu kwa nini tumekuondolea amani kwa kukueleza ukweli kwamba umejamba.
Kwahiyo sasahivi ukimkataa yesu unaenda ulaya miaka mingapiNimeelezea mbona walimkataa YESU ndo maana walipewa adhabu ya kukaa ulaya miaka 1800 kwa ubaguzi mkali