Mungu (Jehovah) hapendelei taifa la Israel

Neno sahihi ni "umesharidhika" si "umesharizika".
Alafu unapotezaje mda kwenye fake news, mim kamwe habari nikishahisi ni fake news naachana nayo kwanin nijichoshe

Usipende kungangana na mambo zikiwemo habari ambazoo unaona hazina msaada kwako zikiwemo fake news
 
Wewe ukiambiwa kula mavi ni dawa ya tumbo utakubali kula kwa sababu ni uongo?

Ukikuta mtu anawaambia wengine wale mavi ni dawa ya tumbo, utafurahia uongo huo?

Uongo ukiachiwa utandae hauna madhara?
 
Hakuna sehemu yeyote jamiiforum watu wanashikiwa fimbo wanaambiwa wale mavi, ukila mavi ni kwa Ujinga wako
 
Wewe guluguja hata nikikupa mfano huuelewi.

Hizo habari zako za kuhubiri kuwapo kwa Mungu ambaye huwezi kuthibitisha yupo ni sawa na kuambia watu wale mavi kama dawa ya tumbo.

Zote ni fake news.
 
Utapotezaje mda kwenye Uzi wa mtu unayemuita guluguja hivi una utimamu wa akili kweli
 
Mpagani ni mtu anayeamini Mungu tofauti na Mungu aliyekubalika na watu wa Magharibi pamoja na dini kubwa za dunia.

Anaitwa mpagani kwa sababu anasemwa anaamini Mungu wa uongo.

Kuniita mimi mtu ambaye sikubali uwepo wa Mungu kuwa ni mpagani ni sawa na kusema mtu aliyenyoa kipara amesuka nywele mtindo mbaya.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Wee bana anzisha uzi wako ili tuje tuchangie.
 
Unanipangia jinsi ya kuchangia katika jukwaa la JF linalojinadi kwa kaulimbiu ya "Where We Dare To Talk Openly" ?

Kwanini hoja yangu ya kuhoji uwepo wa Jehovah haihusiki kwenye uzi huu, wakati uzi huu unamuongelea Jehovah hata kwenye heading yake?
 
Nisamehe bro, kwani mimi ni nani mpaka nikupangie cha kuongea?
🤣🤣🤣
 
Unanipangia jinsi ya kuchangia katika jukwaa la JF linalojinadi kwa kaulimbiu ya "Where We Dare To Talk Openly" ?

Kwanini hoja yangu ya kuhoji uwepo wa Jehovah haihusiki kwenye uzi huu, wakati uzi huu unamuongelea Jehovah hata kwenye heading yake?
Sasa usinipangie jinsi ya kuandaa uzi
 
Back
Top Bottom