Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,247
Israel ni taifa teule Spiritual kwa wakristo nikimaanisha mambo mengi ya kiroho alipitisha kupitia wao, wana baraka nyingi na adhabu pia kwa hiyo sio kweli kwamba Mungu anawapendelea Leo naelezea adhabu walizozipitia
Wakati ndugu zake yusuphu wanamuuza misri ilikua ni moja ya uovu walioufanya ndugu zake kwa kuamisha lango lao la baraka na kulipeleka misri, miaka 400+ kukaa misri ilikua ni adhabu na akikukua kipindi kizuri hata kidogo
Walivyokua jangwani walimuuzi Mungu Tena wakapewa adhabu ya kuzunguka miaka 40 kwa safari ambayo haizid hata wiki mbili kwa miguu kwa hiyo miaka 40 jangwani ni adhabu
Kupelekwa Ulaya hii ndo moja ya adhabu kubwa kuliko zote, baada ya kumkataa YESU Wana wa Israel walipewa adhabu nyingine ya kupelekwa ulaya na walikaa almost miaka 1800 Ila waliahidiwa watarudishwa ndo Uhuru tunao uona waliopewa 1948
Hizi ni baadhi ya adhabu waliopewa ila ziko nyingi sana
