Mungu hakuwa na mpango wa kuwa na binadamu zaidi ya Eva na Adam

Mi huwa nahisi kosa alilofanya adamu ni uzinzi kabla ya ndoa. Yaani Mungu aliwaumba kisha akasubilia aje awafungishe ndoa ndo waanze kufanya yao. Lakini wao walifanya kama tunavyofanya leo. Kijana wa miaka 12 na bint wa miaka 10 huwadanganyi kitu katika 6×6 kitu ambacho Mungu hapendi.

Pia kuna uwezekàno jama alipia behaind dor huna mshikaji alisema kipindi flani

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Si kweli.. Mungu alipowaumba Adam na Eva aliwaambia wakazae waongezeke na waijaze dunia. Hivyo basi walipewa mamlaka ya kufanya tendo la ndoa kabla ya uasi wa kula tunda la mti wa katikati. Soma maandiko vizuri.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Nawapa Hi wana Jukwaa wote wa JamiiForum ila salamu zangu nyingi nawapa wana Jamii Intelligence.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, ila naomba nitoe angalizo kwa wale wadau wanaochangia jambo kwa makasiriko au hisia zao kali, mada hii inaweza isiwe kwa ajili yako.

Naomba niende moja kwa moja na mada ( Mungu hakuwa na mpango wakuwa na binadamu zaidi ya Eva na Adam ). Naomba kwanza kabla sijaenda mbele nitoe mahali ambapo unaweza kupatumia kama reference, soma kitabu cha Mwanzo katika Biblia Takatifu kwenye Agano la Kale.

Baada ya hapo naomba niendelee, kwa mujibu wa Biblia Adam alikuwa wa kwanza kabisa kuumbwa na baada ya yeye (Adam) kuwepo m/Mungu akaamua kutumia ubavu wa Adam kumuumba Eva (Eve). Eva aliumbwa kama msaidizi wa Adam, na siku zote wakiwa wanaishi Adam na Eva walikuwa wanaishi wakitembea na kufanya mambo mengi wakiwa watupu kabisa (Hawana nguo ). Hapa naomba niweke utuo kidogo, ukirudia kuisoma Mwanzo katika Biblia utakutana na kisa cha Eva kudanganywa na Ibilisi/Shetani/ Shweitani (though sina hakika na Uandishi wa hili neno la mwisho). Baada ya Eva kukubali kula tunda ambalo Mungu aliwakataza wasile alimshawishi Adam naye ale lile tunda. Baada ya kula lile tunda Adam na Eva wakajikuta wako tupu kabisa (Yaani Naked..nyama nyama ). Kabla sijaenda mbali nataka nijaribu kuchambua sentensi yangu niliyoiandika " Baada ya Eva kukubali kula tunda ambalo Mungu aliwakataza wasile ". Kama Mungu aliwakataza kula lile tunda la mti wa ujuzi wa mema na ubaya ina maana halisi na ya kawaida ya kwamba hakutaka wajijue ya kwamba walikuwa watupu (bila nguo) na kama wangejijua kama walikuwa tupu/naked wangetamaniana na mwisho wa siku wangefanya ngono/mjamiiano then mwishowe wangepata watoto na kuongezeka. Sasa kufikia hapa tunatakiwa tujue Mungu hakutaka uwepo wa binadamu wengine wengi isipokuwa uwepo wa Adam na Eva licha ya kuiumba dunia na Sayari nyingine nyingi. Kuna maswali mazito mengi hapa, sasa kwanini Mungu aliumba Ulimwengu mkubwa huu ambao hakutaka watu wengine wawepo (rejea hapo juu!) ?, Je Mungu alipanga kuwaumba viumbe wengine ambao alitaka wakae katika sehemu nyingine za dunia akiwa anawaweka Adam na Eva kwenye bustani?.

Sasa naomba niachane na mambo ya hapo juu tushuke kidogo hapa. Baada ya Adam na Eva kula lile tunda walifukuzwa kwenye ile bustani ya Eden na wakiwa huko walizaliana na kuanza kuongezeka, ila bado hata huu uzao haukuwa na baraka zozote za moja kwa moja kutoka kwa Mungu kwani hata majibu ya Adam yalikuwa yaliyojaa kiburi kizito mno kwani baada ya kuulizwa na Mungu kwanini alikula tunda alijibu " Si huyo mwanamke uliyenipa ndo kasababisha ".

Kwa sisi tuliopo kwa muda huu kama si Mungu kumtoa Yesu kristo kuja kutuokoa kwa kufa pale msalabani hatukuwa na thamani wala uhalali wa kuishi kabisa.

Nawasilisha, nakaribisha mawazo yenu.
Kwenye stori yako hii unatofautiana na maandiko. Baada ya kuumbwa waliambiwa wakazae waongezeke na waijaze dunia hivyo Mungu alikua na mpango wa kuijaza dunia kupitia wao na hii inaonyesha Mungu alikua na mpango na binadamu wote.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
mi huwa najiuliza
wanadai siku ya mwisho watenda dhambi wote adhabu itakuw ni kwenda motoni

ina maana wale wazee wenye miaka 400 bado tu wanatusubilia sisi wanyoa viduku tuhukumiwe pamoja
 
kuna bandiko moja nlipata kulipitia kutokana na kilchotokea eden kilgusa ufaham wangu kias n kwamba pale eden kulikua na Adam na eva na malaika walkua wakizunguka uku na kule kuish nao pale shetan ambae alpewa casting kama nyoka lkn alkua n kiumbe kama malaika sema alkua anapenda batle sana ubishan na kila hoja kugeuza vtu almweleza Mungu kwamba hawa viumbe ulioumba n dhaifu na hawatakuja kukuheshimu wala kukusikilza

Mungu kwa nia yake njema akamwambia hawa n viumbe wangu lazma wanskilze na kuntii ivyo walkubaliana kama ku beti kua ok acha tuone watanheshim au lah apo ndipo shetan alpo pata kibal cha kwenda kumrubuni eva na kutembea nae yan kusex nae akiwa n kumfundsha kua mungu aliwatisha mspaguse apa kwa maana na nyinyi mtaweza kufanya uumbaj kama yeye baada ya kuliwa kwa eva alitoka apo akiwa ameshika mimba bila yeye kujua na kwenda kwa mme wake adam na kumpa nae ilo tunda adam akajpgia na mungu ndio akawatokea wakiwa wanajiona wako tofaut na kuwaulza apo ndipo majuto ya mtoto wa kiume adam alposema n huyu mwanamke ulienletea ndio sababu ya yote hayo lkn apo tayar shetan alkua amevuka mipaka ya makubaliano kua amewatendesha dhambi zaid kulko walvyokua wamebet ndipo shetan akafukuzwa eden,

Alpo zaliwa mtoto wa kwanza wa adam na eva kain alkua n mtoto wa mr devil ndio mana alkua na hasira na chuki sana mpka anazaliwa ndugu yake adil alkua ampend na hata kumpangia mpango wa kumuua kwasababu kain hakua uzao wa adam na shetan alipofukuzwa kuna baadh ya malaika aliwarubun na kutembea nao na alkua ashaanzisha uzao wake ndio yule alioulza wakat kain kaondoka kwenda kuish mbal alioa mke alitoa wap n alkuta mr devil yuko na familia na washazaana ndio akapata mke wa kuoa kwaio sio kama mungu akujua wanatenda kosa wakat huu alkua anajua n hekima na makubaliaono waliokua wamewekeana na shetan kama malaika mkuu pale eden kua hawa viumbe n wa hovyo ulio wa umba uandish wangu sio mzur lakn kuna hoja na point zpo umo kama mtatulza akil na kuzpa fikira vyema
 
Mjinga aijui biblia bi wakumpuuza
Usiseme hvyo. Na ww ata kuuliza walikaa mda gan kwenye bustan pasipo kuzaana na walichukua mda gan had kupata watoto wa kwanza baada ya kufukuzwa bustanini?

Nahis hili jibu ndio litabeba maana ya hii topic
 
umesema walikuwa adam na eva tu..ivi kaini alienda kumuoa nan kule nchi ya nodi,? dunian walbak watatu tu baada ya habili kufa, yaan walbak adam,eva na kain kabla watoto wengne kuzaliwa. kaini alpata wapi mke?
Adam na eva walizaa pia watoto wa kike ila biblia haikuwalezea hivo kaini alimuona dada yake
 
Mungu ni wa ajabu ndio maana hatuwezi hata kuelewa direct maneno yake usiwe mdadisi kwenye biblia ulishaambiwa sasa, siku utakapo ulizwa kwa nini ulisema hivi usiseme biblia haikukukataza
 
Hatutishiani Moto wala imani zetu wengine hazisemi tusihoji mambo na kama una shaka yoyote unaruhusiwa kutafuta elimu pana zaidi.ila JF kuna wajuaji sana aisee! halafu wakiambiwa ni watata na kuhisi labda wanakatazwa kuhoji ila tatizo kuna vingi sana tunalazimisha kuaminishana halafu ni vya uongo sasa.

Hata hivyo kiufupi Mungu alijua tutazaana na kuwa hapa tulipo,na ndio maana akawa na malaika wengi kwa ajili yetu akatuma na mitume wake wengi wakiwepo kina Daud (a.s)Mussa(a.s),Issa (a.s) na wengineo ili kutuongoza kwenye njia azitakazo.dhumuni kubwa la kuumbwa kwetu ni kuijaza dunia na kumuabudu aliyetuumba.
 
SWali:
Walivyoambiwa zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi ilikuwa ni kabla ya kula tunda au baada? Jibu la swali hili litahalalisha mada yako au utakua MWONGO wa masuala ya imani.
Walikua Bado hawajapewa mwongozo wa namna ya kuishi kama mke na mume.
Walikua hawajafungishwa ndoa Bado .
Walifanya uzinzi ndio maana wakalaaniwa.

Jaribio lao la kwanza lilikua ni kuishi bila kufanya tendo la ndoa mana hawakujua uchi uko wapi.
 
Si kweli.. Mungu alipowaumba Adam na Eva aliwaambia wakazae waongezeke na waijaze dunia. Hivyo basi walipewa mamlaka ya kufanya tendo la ndoa kabla ya uasi wa kula tunda la mti wa katikati. Soma maandiko vizuri.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Kwa Nini Karne zote kabla ya kula tunda hawakuzaa.?

Jibu ni rahisi kabisa walikua Bado hawajapewa mwongozo wa namna ya kuingia kwenye ndoa.
Walikua wamedanganywa na shetani na kujikuta wanapata laana ndio maana mpaka Leo tendo la ndoa limegeuka kuwa laana Kwa wale wanaolitumia vibaya bila uhalali.

Jiulize Adamu alikua ametahiriwa au hakutahiriwa?
Kutahiriwa ni agano la Mungu. Je, alikua ameshatahiriwa ?
Jibu ni hapana. Hakupaswa kuanza tendo la ndoa kabla hajatahiriwa mana ndiyo formula ya Mungu.

Kumbuka hata baada ya Hawa kuumbwa hakuna mahali Wameambiwa kuwa wakazaliane Bali aliitwa msaidizi TU.
Walioambiwa wakaongezeke walikua ni watu walioumbwa mwanzo ambao waliwekwa Moja Kwa Moja Duniani na Wanyama na mimeo ili waishi pamoja. Adamu aliishi Edeni yaani peponi.
 
Walikua Bado hawajapewa mwongozo wa namna ya kuishi kama mke na mume.
Walikua hawajafungishwa ndoa Bado .
Walifanya uzinzi ndio maana wakalaaniwa.

Jaribio lao la kwanza lilikua ni kuishi bila kufanya tendo la ndoa mana hawakujua uchi uko wapi.
Walivyobarikiwa wakaambiwa wakaze waijaze nchi ilikuwa ni kwa uwezo wa roho mtakatifu?

Mwanzo 1:28​

Mungu akawabariki na kuwaambia, “Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.”
 
kuna bandiko moja nlipata kulipitia kutokana na kilchotokea eden kilgusa ufaham wangu kias n kwamba pale eden kulikua na Adam na eva na malaika walkua wakizunguka uku na kule kuish nao pale shetan ambae alpewa casting kama nyoka lkn alkua n kiumbe kama malaika sema alkua anapenda batle sana ubishan na kila hoja kugeuza vtu almweleza Mungu kwamba hawa viumbe ulioumba n dhaifu na hawatakuja kukuheshimu wala kukusikilza Mungu kwa nia yake njema akamwambia hawa n viumbe wangu lazma wanskilze na kuntii ivyo walkubaliana kama ku beti kua ok acha tuone watanheshim au lah apo ndipo shetan alpo pata kibal cha kwenda kumrubuni eva na kutembea nae yan kusex nae akiwa n kumfundsha kua mungu aliwatisha mspaguse apa kwa maana na nyinyi mtaweza kufanya uumbaj kama yeye baada ya kuliwa kwa eva alitoka apo akiwa ameshika mimba bila yeye kujua na kwenda kwa mme wake adam na kumpa nae ilo tunda adam akajpgia na mungu ndio akawatokea wakiwa wanajiona wako tofaut na kuwaulza apo ndipo majuto ya mtoto wa kiume adam alposema n huyu mwanamke ulienletea ndio sababu ya yote hayo lkn apo tayar shetan alkua amevuka mipaka ya makubaliano kua amewatendesha dhambi zaid kulko walvyokua wamebet ndipo shetan akafukuzwa eden,
Alpo zaliwa mtoto wa kwanza wa adam na eva kain alkua n mtoto wa mr devil ndio mana alkua na hasira na chuki sana mpka anazaliwa ndugu yake adil alkua ampend na hata kumpangia mpango wa kumuua kwasababu kain hakua uzao wa adam na shetan alipofukuzwa kuna baadh ya malaika aliwarubun na kutembea nao na alkua ashaanzisha uzao wake ndio yule alioulza wakat kain kaondoka kwenda kuish mbal alioa mke alitoa wap n alkuta mr devil yuko na familia na washazaana ndio akapata mke wa kuoa kwaio sio kama mungu akujua wanatenda kosa wakat huu alkua anajua n hekima na makubaliaono waliokua wamewekeana na shetan kama malaika mkuu pale eden kua hawa viumbe n wa hovyo ulio wa umba uandish wangu sio mzur lakn kuna hoja na point zpo umo kama mtatulza akil na kuzpa fikira vyema
Kuna dalili ya Ukweli mana ukisoma Biblia Kwa umakini utagundua hata Yesu alikua anazungumzia habari za kizazi Cha nyoka.

Ndio maana Mungu alimtuma Yesu ambaye ni uzao wa kiMungu yaani Roho Mtakatifu ili aweze kupambana na Ule uzao wa nyoka ambao ulikua ni kizazi hodari sana.

Mpaka Leo kizazi Cha nyoka Bado kipo ndicho kinachousumbua Dunia Kwa kumwaga damu na uasi. Yesu ndiye aliyeweza kushinda kizazi Cha nyoka.
 
Walivyobarikiwa wakaambiwa wakaze waijaze nchi ilikuwa ni kwa uwezo wa roho mtakatifu?

Mwanzo 1:28​

Mungu akawabariki na kuwaambia, “Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.”
Hao hawakua Adam na Hawa walikua ni watu Wawili walioumbwa wa kike na kiume. Hawakumbwa Kwa mavumbi.
 
Kwa Nini Karne zote kabla ya kula tunda hawakuzaa.?

Jibu ni rahisi kabisa walikua Bado hawajapewa mwongozo wa namna ya kuingia kwenye ndoa.
Walikua wamedanganywa na shetani na kujikuta wanapata laana ndio maana mpaka Leo tendo la ndoa limegeuka kuwa laana Kwa wale wanaolitumia vibaya bila uhalali.

Jiulize Adamu alikua ametahiriwa au hakutahiriwa?
Kutahiriwa ni agano la Mungu. Je, alikua ameshatahiriwa ?
Jibu ni hapana. Hakupaswa kuanza tendo la ndoa kabla hajatahiriwa mana ndiyo formula ya Mungu.

Kumbuka hata baada ya Hawa kuumbwa hakuna mahali Wameambiwa kuwa wakazaliane Bali aliitwa msaidizi TU.
Walioambiwa wakaongezeke walikua ni watu walioumbwa mwanzo ambao waliwekwa Moja Kwa Moja Duniani na Wanyama na mimeo ili waishi pamoja. Adamu aliishi Edeni yaani peponi.
We unajua hilo.agano la kutahiri limeanza wakati gan?
Kwann baada ya kuwafukuza kwenye bustan hakumtahiri adam akasubiria had wakat wa Ibrahim ndio akapitisha hio issue ya kutahiri?
 
kuna bandiko moja nlipata kulipitia kutokana na kilchotokea eden kilgusa ufaham wangu kias n kwamba pale eden kulikua na Adam na eva na malaika walkua wakizunguka uku na kule kuish nao pale shetan ambae alpewa casting kama nyoka lkn alkua n kiumbe kama malaika sema alkua anapenda batle sana ubishan na kila hoja kugeuza vtu almweleza Mungu kwamba hawa viumbe ulioumba n dhaifu na hawatakuja kukuheshimu wala kukusikilza Mungu kwa nia yake njema akamwambia hawa n viumbe wangu lazma wanskilze na kuntii ivyo walkubaliana kama ku beti kua ok acha tuone watanheshim au lah apo ndipo shetan alpo pata kibal cha kwenda kumrubuni eva na kutembea nae yan kusex nae akiwa n kumfundsha kua mungu aliwatisha mspaguse apa kwa maana na nyinyi mtaweza kufanya uumbaj kama yeye baada ya kuliwa kwa eva alitoka apo akiwa ameshika mimba bila yeye kujua na kwenda kwa mme wake adam na kumpa nae ilo tunda adam akajpgia na mungu ndio akawatokea wakiwa wanajiona wako tofaut na kuwaulza apo ndipo majuto ya mtoto wa kiume adam alposema n huyu mwanamke ulienletea ndio sababu ya yote hayo lkn apo tayar shetan alkua amevuka mipaka ya makubaliano kua amewatendesha dhambi zaid kulko walvyokua wamebet ndipo shetan akafukuzwa eden,
Alpo zaliwa mtoto wa kwanza wa adam na eva kain alkua n mtoto wa mr devil ndio mana alkua na hasira na chuki sana mpka anazaliwa ndugu yake adil alkua ampend na hata kumpangia mpango wa kumuua kwasababu kain hakua uzao wa adam na shetan alipofukuzwa kuna baadh ya malaika aliwarubun na kutembea nao na alkua ashaanzisha uzao wake ndio yule alioulza wakat kain kaondoka kwenda kuish mbal alioa mke alitoa wap n alkuta mr devil yuko na familia na washazaana ndio akapata mke wa kuoa kwaio sio kama mungu akujua wanatenda kosa wakat huu alkua anajua n hekima na makubaliaono waliokua wamewekeana na shetan kama malaika mkuu pale eden kua hawa viumbe n wa hovyo ulio wa umba uandish wangu sio mzur lakn kuna hoja na point zpo umo kama mtatulza akil na kuzpa fikira vyema

Kumbuka kuwa inasemekana Mungu anajua kila kitu ata kabla ya kutokea, kwahiyo unataka kusema Hadi anabeti na shetani hakujua kama shetani atavunja terms and conditions?

Turudi kwenye uumbaji huo huo wa Adam, inamaana Mungu hakujua kama shetani atakuja kumrubuni Eva na hatimae kufanya Adam ale tunda la mema na mabaya?

Kama anajua kila kitu inakuaje akaruhusu hicho kitu kutokea au alifanya makusudi? Na kulikuwa na haja gani ya kuzunguka kote huko kama alikuwa anajua kuwa mwisho wa siku lengo lake ni kufukuza nyumbani watoto wake?

Na kama Mungu ana limitations katika kujua Mambo ambayo bado hayajatokea ni Nani anaemsemea na kumpa sifa ya kuwa anajua kila kitu ilhali kuna matukio yanakinzana na uwezo wake

Acha kuandika vitu vya kawaida alafu unatulazimisha eti katika comment yako kuna hoja na points tukituliza kichwa, ulipaswa wewe ndio utulize kichwa Kwanza kabla ya kuchangia Mada
 
Back
Top Bottom