CCM ni Sawa na Adam aliyepewa Dhamana ya Kuitunza Bustani ya Tanzania na kukatazwa kula Mlungula!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Linapotokea tatizo wa kulaumiwa ni CCM wenye Ilani ya Uchaguzi na siyo mtu Binafsi

Kwa sasa CCM ni kama Adam pale Bustani ya Eden na utajiuliza wakati Eva anaingia mkataba na nyoka wa kula Tunda lililokatazwa yeye Alikuwa wapi?

Sasa CCM imeshakiri swala la Bandari liko kwenye Ilani yake so Prof Mbarawa aachwe

Usiku mlale unono!
 
Wee jidai kuleta chokochoko na jambo letu la DP world, tutakufurusha uhamie Umoja party!!
 
Back
Top Bottom