FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,916
Amejuaje kama nitakuwa nina kiburi, je nikiamua kuacha kuwa na kiburi, bado tu nitatenda dhambi kisa ameshajua kwamba nitatenda dhambi?Mwanadamu umepewa uwezo wa kuishinda dhambi,kiburi chako tu.
Dunia imewekwa kwenye kanuni Ili uishi vyema, maana kuishi ni ibada na kufa ni faida.
Kwanini wao wanafuata kanuni za Mungu ila sisi Duniani ndio hatufuati kanuni hizo, kwanini?Sababu wanaishi kwa kufuata Sheria na kanuni za MUNGU.
Ukifata kanuni za MUNGU yaani kuishi Maisha matakatifu ya utauwa huwezi kuwa na dhambi, dhambi zitakukimbia.
Sababu wanajua mwisho wao.Sisi tunajua ila vichwa ngumuKwanini wao wanafuata kanuni za Mungu ila sisi Duniani ndio hatufuati kanuni hizo, kwanini?
Kiburi ni dhambi,dhambi ufanywa na mtu ambae ni mjinga.Amejuaje kama nitakuwa nina kiburi, je nikiamua kuacha kuwa na kiburi, bado tu nitatenda dhambi kisa ameshajua kwamba nitatenda dhambi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe kila kitu kimeshapangwa..[emoji1787][emoji1787]
Basi haina haja ya kuhangaikia sijui kwenda church maana matokeo ni yale yale mwisho wa siku
Kwahiyo mungu ana zidiwa maarifa /nguvu na shetani!?hoja dhaifu sana. Kesho ya Kila mtu huwa imepangwa na Mungu mwenyew tena Mungu humwazia mema kila mtu ila dhambi ndio hublock baraka bora za kesho ya mtu na kwakua ibilisi yuko against na mema Mungu anayowatakia watu wake. hutumia mlango wa dhambi kama kichocheo cha kublock baraka hizo kwakushawishi wanadamu kujiingiza huko. hakuna baya au zuri linalo mpata mtu kwa mpango wa mungu lile lisilo bora kwa huyo mtu. elewa sio kila jambo baya linalomtokea mtu Mungu anataka limpate
Huwa hawana hoja zenye logic wanaishia porojo tuHapa wachague moja kati ya haya mawili
1.) Mungu kama anaijua kesho yetu maana yake ameshapanga kesho yetu, hivyo dhambi zote mtuhumiwa namba 1 ni yeye.
2.) Kama dhambi ni zetu, maana yake yeye hakupanga sisi tufanye dhambi bali ni uamuzi wetu sisi wenyewe, hivyo haijui kesho yetu.
Chagueni moja hapo
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwa hiyo mtu anaweza kuwa na mwisho tofauti na ule anaoujua Mungu kama akiamua kubadilika?
Kwhyo mtu akifa kwenye dhambi ni sir God alipanga kabisa amchome moto?Haimake Sense hata kidogoo! Maisha ya mwanadamu kila kinachotokea kina sababu na Mungu anajua sio kesho yako tu hata maisha yako yote hapa duniani mwanzo mpaka mwisho.
Hiki ulichoandika hapa kinaaminiwa na wengi ila kina mkanganyiko sana.Haimake Sense hata kidogoo! Maisha ya mwanadamu kila kinachotokea kina sababu na Mungu anajua sio kesho yako tu hata maisha yako yote hapa duniani mwanzo mpaka mwisho.
Vitabu vipo, someni.Haya maswali magumu sana.
Nimekupata sanaUnachosema ni kwamba binadamu hana uchaguzi, hayupo huru zaidi ya kufuata kilichopangwa jambo ambalo si kweli.
Mm nachoona hatufanyi mambo kwa sababu MUNGU amepanga ila MUNGU anajua tutakalofanya kutokana na tabia zetu za maamuzi na tamaa anayoiona ndani yetu.
Kama tu wewe unavyomtambua mwanao wa kiume kiasi kwamba unajua pamoja na kumuonya sana ila nikisafiri nikamuacha atavuta bangi. Wewe kujua kuwa atavuta bangi haimaanishi kuwa ulipanga avute bangi.
MPUMBAVU amesema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU.Ni ukweli ulio wazi ila ni ngumu kukubalika hasa kwa watu waliokaririshwa imani.
Iko hivi Mungu angekuwa anaijua kesho yako kusingekuwepo na kitu kinachoitwa dhambi, kwa sababu, mfano mtu amechinjwa hapo hakuna dhambi maana tayari mungu alishapanga utachinjwa au huo uovu unaoufanya sasa ungekuwa sio dhambi maana mungu alishapanga.
Njia unayoipitia ndiyo hatima ya maisha yako.
Kuna watu wanamtumikia Mungu mpaka wanazeeka na pia wapo wanamtumikia shetani mpaka wanazeeka.
Pia wapo walikuwa wanamtumikia Mungu ila hawajauona hata ujana.
Maisha ni kama simu tu utachagua uitumieje vile unaitumia ndiyo inakupa majibu unayoyataka wewe.
Akili za new members hizi 🤣Ni ukweli ulio wazi ila ni ngumu kukubalika hasa kwa watu waliokaririshwa imani.
Iko hivi Mungu angekuwa anaijua kesho yako kusingekuwepo na kitu kinachoitwa dhambi, kwa sababu, mfano mtu amechinjwa hapo hakuna dhambi maana tayari mungu alishapanga utachinjwa au huo uovu unaoufanya sasa ungekuwa sio dhambi maana mungu alishapanga.
Njia unayoipitia ndiyo hatima ya maisha yako.
Kuna watu wanamtumikia Mungu mpaka wanazeeka na pia wapo wanamtumikia shetani mpaka wanazeeka.
Pia wapo walikuwa wanamtumikia Mungu ila hawajauona hata ujana.
Maisha ni kama simu tu utachagua uitumieje vile unaitumia ndiyo inakupa majibu unayoyataka wewe.
Kwaiyo Mungu wenu Yuko Kama mwanadam? Ukiunda robot zumuni lako si lifanye kazi uliyo likusudia. lisipo fanya Kama ulivyo li program kosa sio la robot Ni lako wewe mtengenezajiUnachosema ni kwamba binadamu hana uchaguzi, hayupo huru zaidi ya kufuata kilichopangwa jambo ambalo si kweli.