FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,917
Hayo unayoyasema ni kusababisha maumivu na si kuepusha maumivu, ulipaswa kuniambia kwanini nisizuie mauaji huko Ukraine endapo uwezo ninano? Hio ingemake sense, ila sasa , mimi sina huo uwezo, ningekuwa nao na badi nikaacha watu wauwawe Ukraine hapo nitakuwa ‘Sadist’Acheni upumbavu, mbona hukanyagi moto ukuunguze mguu ilihali uwezo wa kuukanyaga unao?
Au mbona hujipeleki huko vitani Ukraine ukafe nakati uwezo wa kwenda unao?
Au kwanini hujilazi kwenye reli ili treni ikija ipite nawe ufe nakati una uwezo huo?
Boss Usilazimishe.Hapa wachague moja kati ya haya mawili
1.) Mungu kama anaijua kesho yetu maana yake ameshapanga kesho yetu, hivyo dhambi zote mtuhumiwa namba 1 ni yeye.
2.) Kama dhambi ni zetu, maana yake yeye hakupanga sisi tufanye dhambi bali ni uamuzi wetu sisi wenyewe, hivyo haijui kesho yetu.
Chagueni moja hapo
Sasa kama binadanu anakuwa na uhuru wa kuchagua basi huwezi kusema mungu anajua mwisho wake utakuaje sababu huo sio uhuru, tayari mwisho upo pre determinedHilo gari limeundwa ni mashine halina utambuzi, nimelitumia tu kama mfano uone katika kipengele cha kufahamu jambo kutokana na sifa za hilo jambo. Sifa za cc kubwa ni kula mafuta sijaongelea uhusika wa uumbaji wake.
Binadamu ana uhuru wa kuchagua ila chaguzi zina maandalizi. MUNGU anayaona maandalizi ndipo anajua utakachokifanya.
Tuliumbwa kwa mfano wake.Uwezo wa mungu usiulinganishe na WA Binadamu.
Kwann unalinganisha kufahamu mwisho na kuupanga mwisho? Mwisho wa filamu uliyoitazama unaufahamu sababu uliupanga?Sasa kama binadanu anakuwa na uhuru wa kuchagua basi huwezi kusema mungu anajua mwisho wake utakuaje sababu huo sio uhuru, tayari mwisho upo pre determined
Sasa filamu kama hukushiriki kuiandaa wewe utajuaje mwisho wake upoje? Ama Ulishainagalia hiyo filamu kabla hadi ikafika mwisho? Au uliambiwa na mtu mwingine aliyekwisha iona?Kwann unalinganisha kufahamu mwisho na kuupanga mwisho? Mwisho wa filamu uliyoitazama unaufahamu sababu uliupanga?
AmeeeeeeeeenLengo ni hitimisho la maisha yako ya umilele, Mungu hana hasara hata ukipotea,maana ana viumbe wengine mamilioni kwenye sayari zingine wasio na dhambi, anakupa muongozo kwa faida yako Ili uishi vyema hapa duniani na kesho ahera.
Ndo maana nakwambia hakuna tendo lisilo na maandalizi, MUNGU anaangalia maandalizi ya matendo unayotaka kuyafanya kabla hujayafanya anajua huyu anaenda kufanya nn.Sasa filamu kama hukushiriki kuiandaa wewe utajuaje mwisho wake upoje? Ama Ulishainagalia hiyo filamu kabla hadi ikafika mwisho? Au uliambiwa na mtu mwingine aliyekwisha iona?
So kwa hiyo mpaka mungu aone maandalizi ninayoyafanya ndio atajua nitaenda kufanya nini sio?Ndo maana nakwambia hakuna tendo liailo na maandalizi, MUNGU anaangalia maandalizi ya matendo unayotaka kuyafanya kabla hujayafanya anajua huyu anaenda kufanya nn.
Ni sawa na wewe unavyoangalia igizo ambalo uliona maandalizi yake. Sasa yeye kufahamu utakalolifanya haimaanishi kapanga ufanye.
Yap. Na huwezi kutenda lolote bila maandalizi. Hakuna chochote utaweza kufanya bila maandalizi. Kuanzia seli zinazounda DNA yako mpaka ubongo kupata maelekezo na mwili kufanya maamuzi ni zoezi ambalo MUNGU ana uwezo wa kuliona tangu mwanzo kule kwenye chumba cha siri kabisa cha kiini cha nuclear zako.So kwa hiyo mpaka mungu aone maandalizi ninayoyafanya ndio atajua nitaenda kufanya nini sio?
kwa hiyo tuseme hajui future yangu sababu kwenye kufanya hayo maandalizi yeye hahusiki bali ni nutashi wanguYap. Na huwezi kutenda lolote bila maandalizi. Hakuna chochote utaweza kufanya bila maandalizi. Kuanzia seli zinazounda DNA yako mpaka ubongo kupata maelekezo na mwili kufanya maamuzi ni zoezi ambalo MUNGU ana uwezo wa kuliona tangu mwanzo.
KabisaHaimake Sense hata kidogoo...!! Maisha ya mwanadamu kila kinachotokea kina sababu na Mungu anajua sio kesho yako tu hata maisha yako yote hapa duniani mwanzo mpaka mwisho...
Sasa kujua future yako kunatokana na matendo na matendo yana maandalizi. Tatizo linakuja huwezi kumficha maandalizi ya utakachokifanya. Otherwise ingekuwa ni tofauti tungekuwa maroboti yasiyo na maamuzi.kwa hiyo tuseme hajui future yangu sababu kwenye kufanya hayo maandalizi yeye hahusiki bali ni nutashi wangu
Kwahiyo hiyo ni mipango ya mungu hao watoto kuwa panya rodi sio,Kwahiyo wale panya roads hawakulelewa vizuri na wazazi wao?
Usilolijua ni usiku wa giza.
Mwanadamu umepewa uwezo wa kuishinda dhambi,kiburi chako tu.Yeye amejuaje kwamba sisi tutafanya uasi with 100% specifity and certainity kama hakupanga? Na kwakuwa ni miweza wa yote, angeepusha tu all together, au anapenda kuona dhambi ikitendeka? Ana enjoy sio? Ni Sadist?
Sababu wanaishi kwa kufuata Sheria na kanuni za MUNGU.Hao viumbe wa Sayari nyingine ni kwanini hawana dhambi? Ila sisi tuwe na dhambi?
Ameruhusu uzaliwe Ili umuabudu,Mungu si dikteta thus amekupa akili ya kujua mema na mabaya yote haya mwanadamu uyatenda kwa kuamua mwenyewe.Sasa kwanini aruhusu mi nizaliwe si angepotezea tu nisiwepo?
Yaah free willAmeruhusu uzaliwe Ili umuabudu,Mungu si dikteta thus amekupa akili ya kujua mema na mabaya yote haya mwanadamu uyatenda kwa kuamua mwenyewe.
So hana hasara bali hasara ni kwa aipotezae roho yake.
Sio kweli. Kujua mwisho wako haimaaniishi kuwa alipanga uwe hivyo. Kwani wewe unavyomuona mtu akinywa sumu si unaujua mwisho wake? Inamaanisha kuwa ulipanga anywe hiyo sumu?
Embu Tunga simulizi hapo alafu weka HAO wahusika uone Kama watajipangia wenyewe visa katika hiyo simulizi pasipo ya wewe(mtunzi) kuwapangia.
Mungu ndiye mpangaji WA yote elewa hivyo