Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Nina tamani nifungue mashitaka dhidi ya Mungu anae POKEA maombi ya mtu kama huyu Alie mfunga Tundu Lissu kwa kesi ya uhaini Ili Hali sio muhaini.
Je nisubilie nife, nizikwe nikakutane nae uko Mbinguni? Najiuliza hivi kweli huyu nae alifunga Nini? Anamwomba Mungu ampe uhai? Je ampe mume mwema?je aliomba apewe mtoto kitinda Mimba ??
Je Mungu amekubali maombi yake kweli? NARUDIA namfungulia Mungu mashitaka dhidi ya kupokea sala za Hawa watu Hasa wanadiasa