Mungu asipotaka hutwaliwi!!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Wakuu kutwaliwa ni mapenzi ya Mungu, asipotaka hutwaliwi!!
Ona kijana alivyopona kuliwa na simba gari.
Grrrr
kls-wmk.php

Wacha Mungu aitwe Mungu.
 
Kila binadamu ana siku na namna yake ya kuingia duniani pia kuna siku na jinsi ya kuitoka dunia!! Huyu kijana siku zake zilikuwa bado!!
 
kweli mkuu maana dogo anaweza jisifu '...yani nilivyoliona tu nikakimbia kulikwepa... n.k' kumbe anajidanganya tu
 
Kwa kweli .... na anashangaa kwanini bado anapiga picha....Mungu wacha aitwe mungu.
 
Kiumbe huyu hana dhambi, angekuwa ni Mkwere ndo yuko hapo ingemlamba!
haimaanishi kila anayekufa ndio mwenye dhambi,kumbuka kuwa hata mitume imekufa,huyo sio angekuwa Mkwere hata angekuwa Mkorea kama cku yake haijafika hawezi kufa
 
Back
Top Bottom