sweetlady tumeshindwa kabisa kukuota na loya klorokwini sabb hatujalala.
ila nakuahidi leo tutalala walau masaa mawili, hapo tutakuota tunachakarika pamoja. mwaaaah.
Shemeji Judgement usiku mwema
Swahiba Kipipi good night
My friend Preta mada nzuri ili usingizi umeshika kasi klorokwini na Erotica mniote BAGAH uache kupotea Erickb52 njozi njema charminglady lala unono Vin Diesel Mmwaaaaaaaa
@My sweet wifi Blaki Womani i love you
Wengine wote Mungu awalinde na maovu yote
Afu Judgement sie ni under 16 hivyo bado hatujaanza kunaniliu.
Haha sasa chili si inawasha? Mungu anakuona! Lolau unaweka chilisosi....Mungu anawaona......
4. We ni kiserengeti boy una mpenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGU ANAKUONA
nipo job, badala ya kuconcentrate, kila saa nipo jf! wallah MUNGU ananionaje thatha!??au unaweka chilisosi....Mungu anawaona......
Karibu BAGAH, ukijisikia nambie tukawashushe mishipa if HE , by the way if SHE tunawashusha mitindi yaani tindi lina'drop kukipita kitovu!
Charm!
Mbona unanichanganya mistari ?
How abt Sobhuza?
Sina uhakika kua single ni kuenjoy!
Sanasana utabadili ndizi tu! Leo mkonowaTembo, kesho, NdiziBukoba, kisha NdiziMoshi, tena Kisukari, thn Ngonja n. K ,
Huko nako ni kufaidi ?
Sobhuza kala ban bwana yan full upweke a.k.a single now!
mh! huyu charminglady mbona kaja na kasi namna hii! hujambo?
hivi kumbe ulisha m-customize yule kijana...?kweli haki sawa!
1. Kwa wale wanaoandika txt, 'Nakumiss' halafu kuituma kwa wapenzi 20..........MUNGU ANAWAONA
2. LUKU imekata kwenu umekaa nje unatext watu,'Niko nje napata upepo mwanana'.......MUNGU ANAWAONA
3. Huna kazi, mpenzi wako mtumishi wa serikali mshahara laki 3 kwa mwezi, Birthday yako unatumia milioni mbili......MUNGU ANAKUONA
4. We ni kiserengeti boy una mpenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGU ANAKUONA
5. Unapiga picha sebule ya boss wako unaiweka FB na kukoment Home Sweet Home........MUNGU ANAKUONA
6.
7.
8.
9.
10.
endelea........