Mungu anawaona mjue.......

Mungu anawaona mjue.......

unatoka na mme wa mtu ilhali wajua ana mke. . . . unaonwa eeh. koma!
 
Last edited by a moderator:
Karibu chama la bachelar...........:violin:

Alafu mi sijapata kigezo cha u'bachelar wako! Inakuaje ukongwe wako wa Jeiefu thn iwe hivyo?
Au wanaokutokea unawatolea nje?
Labda ww mwenyewe unapenda HalimaMdeeisims?
 
Preta hiyo namba 5 mie hoiiiiiiiii.......hivi kumbe bado kuna watu wa hivyo eeh.....lol

Ipo sana hyo sweetlady,wengine wanapiga picha kwenye magari ya watu wanabandika fb na kujifanya yaoo.. loh aibu kweli.
 
Last edited by a moderator:
Unaomba Ml. 8 na kuahidi kutoa upendeleo wa kufunika madudu, yaliopo Halmashauri !
We Mbunge wewee! Mungu kakuona kabla!
Na sie tumekuona Mahakamani .

Judgement bahati mbaya natumia simu, ningekugongea like! Ulivyonifurahisha! Mungu ananiona!
 
Last edited by a moderator:
Kujifanya umezima sim ulikuwa kwenye kikao kumbe unakimbia wanaokudai, mungu anakuona
 
Mdogo wangu BAGAH umepotea Jeiefu isivyo kawaida!
Kuna uvumi eti kuna mSugarmamy umekuzibiti na kukubana na kukukosesha tymenough on Jamvi!
( japo mie sina hakika)
kama kuna ukweli, huo Msugarmamy Mungu anamwona!

kaka nitakuja unipeleke kwa yule FUNDI wako bagamoyo...nahisi kuna mtu ananichezea Judgement sio bure!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom