Kwa mujibu wa Biblia, zamani za Uyahudi wanyama walifanywa kama sadaka ya damu kwa ajili ya ondoleo la dhambi, upatanisho na Mungu aliyewaumba...
Lakini baadaye alipokuja Yesu Kristo, akauawa na akamwaga damu ambayo ikawa mbadala wa damu za wanyama...
Ukisoma hizo kafara za damu hapo mwanzo, hawakuwa wakitoa sadaka aina yeyote ya mnyama bali kulikuwa na sifa za aina ya mnyama wa kutolewa kafara...