Dhambi, laana au Mikosi inatolewa kwa Sadaka ya Damu (Yesu alitoa Sadaka hiyo ya Damu kwaajili yako).
Katika maisha ya mwanadamu, damu ndiyo msingi wa msamaha na utakaso. Bila damu, hakuna ondoleo la dhambi wala mikosi wala laana.
1. Damu lazima itolewe ili dhambi zisamehewe.
2. Damu lazima...
Kumesikika stori nyingi kuwa unapoenda kwa mtalaam na unapotoa kuku/mbuzi/ng'ombe etc kama sadaka pale unapotaka mafanikio ya jambo fulani kinachofatia kiroho ni wewe kukabidhi familia yako katika mikono ya giza, yani hatma ya utimamu au uzima wa mke au wanao unanaweza kuwa affected na zile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.