hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,139
Ina staajabisha sana ".....Muweza ya yote anashindwaje kumuweka lockup ibilisi.., acheni hizo si amtie hata uchizi tu wanadamu tubaki salama..
Ina staajabisha sana ".....Muweza ya yote anashindwaje kumuweka lockup ibilisi.., acheni hizo si amtie hata uchizi tu wanadamu tubaki salama..
ni maswali tu yanayotatiza wengi.
Panic sio mahala pake hapa mkuu!Hata kama humuamini ila si kwa hatua hii uliyofikia.....astaghfirullah!!!! Ndugu wewe nakuona kama uliyechanganywa na vile vitopic vya philosophy form 5&6 nothing else!!....usitutukanie Mungu wetu please...na umelaaniwa wewe pamoja na kizazi chako chote
Uwoga unamsumbua kwa hyo anasali ili asiumweMkuu bado hujajibu swali la mtoa mada. Kuumwa kunahusiana vip na Mungu
Kwan Mzee hiyo pumziii unayolipa umeitoa wap?Ila Mungu ni zuzu jamani! eti wakati wa kusali, tumpe misifa ndio atajibu maombi yetu kwa wakati!
Kwahy wee upo upand ganiAcha kumtisha mwenzio " suala la kuumwa liko pale pale "" uwe Mfia dini " mchamungu Au atheist "" utaumwa tu ....so jibu hoja za mtoa mada"".....
Kwahiyo unataka sote tuamini uwepo wa Mungu?mods post kama hizi za wendawazimu wanaomdhihaki mungu naomba muwe mnazifuta tafadhali maana hii imezidi kila kukicha MTU anaibuka na post za kijinga kama hizi siipendi mimi
Kwani upande ambao umetajwa mkuu"".?Kwahy wee upo upand gani
Uko upande gan mbn huelewek mbele wala nyumaMaswali ya msingi sana Mungu anawaumba watu kama maria na consolata halaf wanaishi kwa tabu tu jamani
Ungemjua huyo Mungu ungejibu maswali yanayoulizwa na sio kumwaga matapishi hapa!mods post kama hizi za wendawazimu wanaomdhihaki mungu naomba muwe mnazifuta tafadhali maana hii imezidi kila kukicha MTU anaibuka na post za kijinga kama hizi siipendi mimi
Huezi ukasema unaamini uwepo wa mung pasina kukubal na vitabu vyake Mkuu,hapo bado iman yako ni ndogo Sana Sawa na hakunaNaaamini lakini " sio huyu wa kwenye haya mavitabu ...maana ana mapungufu " Mno "
Tatizo unaonekana unapenda Sana slope mzeeMuweza ya yote anashindwaje kumuweka lockup ibilisi.., acheni hizo si amtie hata uchizi tu wanadamu tubaki salama..
uko sahihi kabisahahhaa....usikute alikuwa ana umba huku anasinzia..."" kwamujibu wa essay ya jamaa lakini "" maana haiwezekani " muweza wa yote ashindwe kuumba kitu ambacho ni timilifu
May our almighty GOD have mercy on you! Daaah MUNGU akuhurumie sana coz hujui ulicho ropokaIla Mungu ni zuzu jamani! eti wakati wa kusali, tumpe misifa ndio atajibu maombi yetu kwa wakati!