DR MANJALA
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 304
- 226
Kakobe kamuombea jana
Hahaaaaaa........Kakurupushwa na hiyo ni kejeli. Watafanya nini wakati walilolitaka halikuwa!!
The gunman who survived at least 21 bullet wounds in a Harlem shootout with cops probably broke a record, a forensic expert said Sunday.Wataje hao wengine na idadi ya risas walizopigwa..
Wewe mbwa si ulisema bora wamuue shenzi roho mbaya weweDah! Mungu mkubwa, mdogo mdogo karibia ataanza kukimbia!
Hilo lichawi hiloHivi Mkuu Barbarosa na wewe yanakutoka hayo toka moyoni kwako??
Amina ya kinafiki toka kwa mafisiemuAmina.
Na ulivyoandika siku ile kuwa bora wangemuua ???Kwani Tundu Lisu ni Mali yako hadi ufikiri una uwezo wa kuamua?
Wewe uliyeshangilia kuwa bora angekufa anakujua???Tundu Lisu ana watu wengi, wewe sijui hata kama anakukumbuka achilia mbali hata kujua kama unaishi, get a life you sucka!
Hayatoki moyoni CCM ni wanafiki mlitaka kumuua sasa mnapongeza niniTunashukuru Mungu Kwa Kusimamisha.
Mungu wa basha wenu Lumumba ambariki shetani uchwaraMungu wa Wachaga Ambariki Tundu Lissu.