Njia 10 za uhakika za kuharibu maisha yako ya sasa na yajayo

tutuberti

JF-Expert Member
Apr 26, 2023
403
590
NJIA 10 ZA UHAKIKA ZA KUHARIBU MAISHA YAKO YA SASA NA YAJAYO

BISHOP DICKSON CORNEL KABIGUMILA

1. Kataa kabisa kulipa gharama ya kumjua Mungu na kutembea naye kwa uadilifu!
Daniel 11:32b, Ayubu 22:21

2. Zifanye dhambi zote hasa zinaa na uasherati kuwa kitu cha kawaida, zitende kwa bidii, jifiche kwenye kichaka cha kutubu bila kuacha na kugeuka, na hakika utayapata mavuno uyatakayo!
Warumi 6:23, Mithali 28:13

3. Kataa kabisa kuheshimu wanaokuzidi umri, matokeo na mafanikio, fanya kama vile wangechelewa ungewazidi, wadharau, waongelee vibaya waziwazi na sirini, amua kupambana nao au kuwachafua kwa uongo au ukweli, na hakika utajionea njia rahisi na ya bei nafuu ya kwenda kwenye uharibifu!
Mithali 15:20, Mithali 30:17

4. Jiambatanishe na marafiki wa ovyo, wasio na mwelekeo wa maisha na wapumbavu!
Mithali 13:20, Zaburi 1:1, 1Wakorintho 15:33

5. Tumia muda wako kiholela na kijinga kwenye vitu visivyokujenga na kukuongezea thamani, hasa vile vinavyokuburudisha tu kama movie, series, comedy, michezo nakadhalika!
Zaburi 90:12, Waefeso 5:15-16

6. Yaepuke maarifa na hekima kwa gharama zote, hakikisha huongezeki kiufahamu wala kukuza akili yako! Epuka vitabu, video za mafundisho, matukio ya kukuongezea uwezo na watu wanaojua kukuzidi!
Mithali 24:3-5, Isaya 5:13, Hosea 4:6-7

7. Fanya vita na watumishi wa Mungu hasa wale waliotumiwa na Mungu kukupa hatua kwenye nyakati fulani maishani mwako au waliotumiwa na Mungu kukuchonga na kukusaidia kuwa mtu wa maana!
Waebrania 13:17, Mithali 30:17

8. Kataa kabisa kupangilia maisha yako, goma kabisa kuwa na maono unayoyakimbiza, ishi kwa kubahatisha, subiri vitu vitokee kimiujiza bila kuwajibika!
Luka 14:28-30, Mithali 16:1, 9, Luka 12:47

9. Kataa, pinga na usiamini kabisa kwenye kulelewa, kukuzwa chini ya wengine, jiamini na nenda kafanye vitu mwenyewe kiholela na usisikilize la yeyote!
Luka 15:11-24

10. Baada ya kusoma ujumbe huu na mambo haya 9, kataa kubadilika kwenye yale uliyokuwa tayari umeharibu, baki hivyo hivyo, halafu maisha yatakulipa waziwazi sawa na upumbavu wako!
Yeremia 30:12-13

Bishop Dickson Cornel Kabigumila,
ABC GLOBAL DUNIANI
 
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
7,9,10,
Hapo pamejaa wachungaji wa mchongo,mkuu hatutaweza kutatua shida zetu za kiuchumi na tekinolojia kwa kutumia theorojia na maombi.
Viongozi wa Afrika, kutoka nchi za Afrika zenye ardhi kubwa na maji, wanafunga safari kwenda urusi kuomba msaada wa chakula kutoka kwenye nchi zilizopo kwenye Vita!!
Hili tatizo halitatatuliwa kwa maombi, hata tungekesha mwaka mzima!
Ukimuomba Mungu akupe kitanda, utakesha hatakupa, Mungu atengenezi vitanda, anatengeneza miti/misitu, kwenye umaskini uliokithiri nchini mwetu,na utitiri wa makanisa ya, "kiroho" Kama hii Hari haikupi shida basi na wewe unafaidika na ujinga wa watu,
David Beckham, Messi, Eron musk, wanamiriki ukwasi kuliko Afrika nzima,hawakuwahi kuwa china ya "wachungaji" Kulelewa!!
Kama wote tumeumbwa na Mungu, kwanini wao wafsnikiwe bila hizi kelele za "kiroho" Ila sie waswahili hakuna kufaikiwa mpaka ukae chini ya "pastor" Seriously!
Bila kazi, maombi tu ni uchawi na ushirikina!
 
Hayo umesema wewe na Bishop wako.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hujagusia suala la kupiga nyeto mtumishi au limehalalishwa ilo suala
Wewe kwea mnazi na mkono mmoja tu utajua mbele kwa mbele

Ushajaza fomu hii ya usajiri
Screenshot_20230727-120238.png
 
7,9,10,
Hapo pamejaa wachungaji wa mchongo,mkuu hatutaweza kutatua shida zetu za kiuchumi na tekinolojia kwa kutumia theorojia na maombi.
Viongozi wa Afrika, kutoka nchi za Afrika zenye ardhi kubwa na maji, wanafunga safari kwenda urusi kuomba msaada wa chakula kutoka kwenye nchi zilizopo kwenye Vita!!
Hili tatizo halitatatuliwa kwa maombi, hata tungekesha mwaka mzima!
Ukimuomba Mungu akupe kitanda, utakesha hatakupa, Mungu atengenezi vitanda, anatengeneza miti/misitu, kwenye umaskini uliokithiri nchini mwetu,na utitiri wa makanisa ya, "kiroho" Kama hii Hari haikupi shida basi na wewe unafaidika na ujinga wa watu,
David Beckham, Messi, Eron musk, wanamiriki ukwasi kuliko Afrika nzima,hawakuwahi kuwa china ya "wachungaji" Kulelewa!!
Kama wote tumeumbwa na Mungu, kwanini wao wafsnikiwe bila hizi kelele za "kiroho" Ila sie waswahili hakuna kufaikiwa mpaka ukae chini ya "pastor" Seriously!
Bila kazi, maombi tu ni uchawi na ushirikina!
Hawa wafia dini wanapenda kutishia wenzao sana, wanataka kutuaminisha kuwa bila maombi hakuna mafanikio kitu ambacho si kweli kabisa.
Na ukitaka kujua uongo wao zaidi jiulize huyo Mungu anayejibu maombi ni Mungu yupi wa wakristo au waislam, maana hawaabudu Mungu mmoja lkn wanadai maombi yao yanasikilizwa.
Dunia ina miungu wengi na Kila mfuasi anasema maombi yake yanajibiwa, inashangaza sana.
 
Hyo no saba ni kutafuta kunyenyekewa na wachungaji mnapenda sana tuwachukulie bila nyie eti mamb flani hayaendi... thubutu...!!!

kwanza mnavunja sana ndoa za watu Kwa kuwachukua mateka wanawake wajinga,!! Na kuwatumikisha kwenye mamb yenu..
 
Back
Top Bottom