Mungai amlipua Lowassa kwa propaganda anazofanya

Mungai amlipua Lowassa kwa propaganda anazofanya

Status
Not open for further replies.
Usitoke nje ya ulingo. Hoja ni shule za kata. Wazo la kujenga shule za kata lilianza awamu ya tatu na sio ya nne kama mnavyojinadi. Kama ni waziri mkuu aliyesimamia basi ni Sumaye na siyo Lowasa kama anavyodanganya watu.
Hoja ya michezo inahusikaje hapo? Tumalize kwanza swala la shule za kata halafu anzisha uzi wa Michezo ya UMISETA.UNANG'ANG'ANIA MICHEZO huku 61% ya wanafunzi kidato cha nne wanafeli. Badala yake mnashusha viwango vya ufaulu. Awamu ya tatu waziri akiwa Mungai alikomesha wizi wa mitihani katika ngazi zote wewe unag'ang'ania michezo tu. Hii ni hulka ya Rais wa awamu nne anapenda sana michezo kukiwa na msiba wa Brigedia na msani ataenda kwenye msiba msanii. Hilo tunajua, lakini mtu makini atachagua mambo muhimu kwa walio wengi. Mtu mmoja hawezi kubadili sera ya elimu bla baraza la mawaziri kukubaliana. Katika baraza la mawaziri Mungai akiwa Waziri wa elimu Kikwete na Lowasa walikuwa mawaziri hivyo walishiriki kufuta michezo shuleni. Msijaribu kuiba sifa kama mnavyoiba kura kwa udanganyifu. Anachosema Mungai ni kweli tupu habari ya kusema ni Mkenya ni kufirsika kimawazo ukenya hapo unaingiaje?
Its only foolish who will not accept changes or truth.Ahsante kunielimisha mkuu mimi pia kama binadamu nina mapungufu ktk uelewa.
 
Mungai ni mwongo flan hata kwenye msiba wa chief wa wahehe alidanya kuwa mkwawa aliingia dini ya uislamu kwa kupitia chief wa kisarawe akiwa kizuizuini huko kisarawe bila kutuambia ukristu aliingia lini huyo mkwawa mungai njaa itakuuwa nyie wote mungai lowasa na ccm muanze kupanga baada ya kifo cha chama chenu arobaini itakuwa lini nenda iringa mjini naona wenzako pale hawakupanga tarehe ya arobaini kugawa mali za marehemu ccm sasa wanahaha kila mtu anataka ubunge kupitia ccm mwakalebela jesca madenge
 
Mungai kuna kitu amesahau, yeye ndiye aliyefuta michezo mashulen, yeye ndiye aliye tuchanganyia masomo, physics na chemistry kuwa somo moja
Kwa haya huwa sitoweza yasahau....ilikuwa nimauaji makubwa ya michezo na sayansi...dunia ya leo nchi nyingi zinaingiza mabilioni ya dollar kwa wanamichezo wao kununuliwa,kulipa kodi na kurudisha hela nchini,Dunia ya leo inahyohitaji wanasayansi wenye elimu zinazolenga maeneo maalumu kwa kiwango kikubwa.Ni ngumu sana kufikiri km CCM.
 
Wakuu,
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Suala la kujenga shule za secondary kila kata lilianziswa na Lowassa.

Lowassa alitoa directives mbili ambazo zilisaidia kufaniksha hili.
1. Kujenga shule za sekondari kila kata
2. Kila wilaya kuhakikisha at least 75% ya wanafunzi waliofaulu mtihani wa darasa la saba wanaingia sekondari.

Huko nyuma kulikuwa na mipango ya kuongeza shule za sekondari lakini ilikuwa sio kujenga shule za sekondari kwa kila kata.

Ndio maana January 2007 wanafunzi 401,011 walijiunga na shule za sekondari ukilinganisha na 148,412 waliojunga January 2005. Kwa miaka miwili tu, idadi ya wanafunzi iliongezeka karibu mara tatu.

Unaweaza kusoma hata utafiti huu hapa:

http://internationalbudget.org/wp-content/uploads/HakiElimu-Case-Study.pdf
In terms of recent trends in policy implementation, PEDP and SEDP have dramatically expanded access to primary and secondary education. At primary level, the Gross Enrollment Rate increased from 78 percent to 112 percent between 2000 and 2006.Actual enrollment grew by over 60 percent, up from 4.4 million in 2000 to well over 7 million in 2006.Expansions in access to secondary education have been even more dramatic. For example, 401,011 students were enrolled in the first year of secondary school in 2007, up from 148,412 just two years earlier. These numbers far exceeded SEDP projections and likely resulted from the impact of two related directives issued by former Prime Minister Edward Lowassa, namely to build a secondary school in each ward and to enroll 75 percent of those who pass the primary education examinations.


Utafiti huu hapa chini nao unaongelea kitu hicho hicho.
http://hakielimu.org/files/publications/document34secondary_edu_tz_policy_challenges_en.pdf

Moreover, recent attention to secondary expansion appears to make little reference to either of
the two SEDP scenarios. Drawing from key political statements, the functional targets appear to
be a) enrol all those who passed primary education in 2005 right now (an order was given to
accommodate those not yet enrolled within months) and b) ensure there is/build a secondary
school in each ward. The initial focus has largely been on construction of schools and
classrooms, and belatedly on finding adequate teachers.

 
Mkuu Mahanju
Hizo shule unazosema zlikuwepo, zilikuwa wapi?

Soma Gurdian la tarehe 15/04/2006 labda akili itafunguka. Hiyo crash course ya walimu ilikuja baadaye baada ya huu mpango wa kwanza kufanikiwa. Ndio ikaonekane shule nyingi lakini walimu hakuna. Mbona hata ukisoma magazeti ya mwaka 2006 haya mambo yameongelewa sana? Watanzania tunakuwa wavivu sana wa kusoma taarifa za nyuma.

Joy, excitement and hope turned into sadness, despair and frustration whenparents of students selected to join Form One under Prime Minister EdwardLowassa's directive discovered that the school never existed in the firstplace, The Guardian can reveal.
An on-the-spot check by The Guardian on Thursday, established that theparents of about 160 would-be Form One students went to report to Wazo HillSecondary School on the outskirts of Dar es Salaam, as indicated in theirjoining instructions letters. Regrettably, they discovered that theconstruction of four classrooms to accommodate the students was only at thefoundation level, a reality that sent shocking waves to both parents andstudents.
Parents who popped into The Guardian newsroom on Thursday morning, werevery bitter. They wanted to know whether the inclusion of Wazo Hill Secondaryschool on the list of schools ready to admit students, was only meant toimpress the Prime Minister and make a mockery of them. 'We thank the governmentfor opening more education chances to allow second selection of students. Butmunicipal authorities should tell the truth about the situation of schools toavoid disturbances,' said one of the angry female parents. The parentsdisplayed letters of instructions, indicating that their children should reportto Wazo Hill Secondary School in Kinondoni District on April 1, 2006 ready forlessons.
When approached for comment, Dar es Salaam Regional Commissioner YusufMakamba maintained that Wazo Hill Secondary School was supposed to be in placebecause allocation of students was preceded by verification by officials fromthe office of the Zonal Education Board. Clarifying on the implementation of the Prime Minister's directive that by April 1, all qualified primary school leavers in the country should be in class, Makamba said the implementation ofthe directive was professionally carried out.
Certainly, the RC told the truth that education inspectors issuerecommendations to the selection board, with regard to schools ready to admitstudents. Examining the visitors book at the construction site of Wazo HillSecondary School in Kunduchi Ward, The Guardian discovered that three schoolinspectors made their 'assessment' of the school. However, no recommendationsabout the school were shown in the visitors' book. Speaking from theconstruction site, Kunduchi Ward Counsillor, Patrick Makoyola 'regretted' forthe inconvenience caused to parents, saying many had taken trouble to come tothe area, only to find masons busy laying the school's foundation.
However,Makoyola, in collaboration with the contractor's firm foreman, Vitalis Mwita,sounded optimistic on the completion of the classrooms. 'I would like to assurethe parents that in less than three months, the classrooms will be ready to accommodateall 160 students,' Makoyola said. He said remedial measures have been taken tohelp students start lessons at Kunduchi Primary School, where four classroomshave been secured. 'We have placed people at the road junction to directparents that their children should report to Kunduchi Primary School for thetime being, as efforts are made to have the secondary school facilities inplace,' said Makoyola. Until Thursday, a total of 50 students had reported toKunduchi Primary School. Perhaps the remaining 110 , are not aware of thetemporary arrangement. Makoyola said over 38.7m/- has been set aside for theschool's project. He also said there were plans to raise over 200m/- underself-help initiative, for the construction of a laboratory, staffroom, staffquarters, toilets and other facilities.
SOURCE: Guardian



Sawa kabisa mkuu! hata mimi nilitaka kujibu hivyo
.Yaani watanzania sisi ni wepesi wa kusahsahau sana.Kikwete alipoingia madarakani 2005 ailikuta shule ziko tayari Lowasa akiwa PM ndo hivyo wakatangaza crash program, hili halina ubishi, kama kuna mtu anabisha basi hana kumbukumbu.
 
Wazo na msukumo ulitoka kwa nani kama si yeye.Mungai akili yake hakuwa nayo wakati akiwa waziri wa elimu labda kama aliyemuazima kamrudishia.

Aliondoa elimu ya michezo shuleni akavuruga masomo ya sayansi labda kwa makusudi kwa vile anaaminika ni Mkenya.Ndipo alipokabidhiwa dhamana Mama Sita akasema pale bungeni aliyefuta michezo mashuleni hana akili.Sasa leo anakuja na hekaya za abunuwasi akafie mbali kama Nepi alivyosema..... wanasubiri kufa.

Mungi anasema wakati wazo la shule za kata linaletwa EL hakuwa PM. Unataka iandikweje ndio uelewe?
 
Wazo na msukumo ulitoka kwa nani kama si yeye.Mungai akili yake hakuwa nayo wakati akiwa waziri wa elimu labda kama aliyemuazima kamrudishia.

Aliondoa elimu ya michezo shuleni akavuruga masomo ya sayansi labda kwa makusudi kwa vile anaaminika ni Mkenya.Ndipo alipokabidhiwa dhamana Mama Sita akasema pale bungeni aliyefuta michezo mashuleni hana akili.Sasa leo anakuja na hekaya za abunuwasi akafie mbali kama Nepi alivyosema..... wanasubiri kufa.
Sawa sawa mkuu huyu jamaa ovyo kabisa yaani hapo alipo anatumia akili za mke wake.
 
SOmetimes huwa nadhani baadhi ya waliomzunguka Lowassa wametumwa na maadui zake ili wammalize muda ukifika... wana mambo ya ajabu-ajabu mno, they on quick fixes wakati watanzania wamechoka na quick fixes

Mkuu kuna mtu kamdanganya kuamini wahuni...kuna vijana baadhi ninawajua kabisaaa, hata kujenga hoja kwa watu wazima hawawezi eti ndo wapiga debe namba moja.

Mkulu yeye ni mwana ccm mwenye sifa kuu ya fitna ndani ya chama, amepikwa akaiva...
 
TAARIFA YA NDUGU JOSEPH MUNGAI KUHUSU UJENZI WA SHULE ZA KATA NA CHUO KIKUU CHA UDOM. 5/3/2015:

Sijawahi kuona tangu nizaliwe kuona baadhi ya watu wana mawazo ya mgando na akili ya kusahau lini Lowassa alijenga shule za kata? Mimi ndiye nilikuwa waziri wa elimu na utamaduni kwa miaka miaka minane.

Shule za sekondari za kata zilijengwa na nguvu za wananchi wenyewe serikali ya awamu ya Tatu chini ya Rais Benjamin W. Mkapa ndio ilihamazisha kila kata nchini nzima kuwe na sekondari waziri wa elimu nikiwa mimi Joseph Mungai.

Nikiwa waziri wa elimu na utamaduni wakati huo niliteua kikosi kazi kila mkoa wakuu wa mikoa niliwaagiza kuwahamazisha wananchi kila kata kujenga shule za kata ndio maana baadhi ya shule zingine za kata ziliitwa majina ya wakuuu wa mikoa.

Wakati Benjamin W. Mkapa mkapa hajamali muda wake wa uongozi alifungua shule za kata nyingi sana nchi nzima shule zingine aliziwekea mawe ya msingi akiwepo waziri mkuu Sumaye naye alifungua shule hizo za kata nikiwepo mimi nilifungua shule hizo nikiwa waziri wa elimu na utamaduni.
Kipindi hicho Lowassa akiwa waziri wa maji na mifugo wakati Rais kikwete anaingia madarakani mwaka 2005 alikuta shule za kata nchi nzima zikiendelea kujengwa kwa nguvu za wananchi wenyewe walijitolea.

Leo hii Lowassa anawadanganya wananchi alijenga shule za sekondari za kata anawatuma vibaraka wasema yeye ndiye alijenga shule za kata wakati tulioshiriki na ujenzi wa shule za kata tupo tukae kimya siwezi kukaa kimya lazima nisema ukweli Lowassa hakujenga shule za kata.
Watanzania kuweni macho na wasaka urais maendeleo yote serikali ndio inayafanya kwa kodi zenu.

Kuna watu kwenye mitandao ya kijamii wanatumika kumsafisha Lowassa mtu kibaka mtu mchafu mwenye matongo tongo ya kila aina ya uchafu mwl. Nyerere aliwahi kusema mtu kipofu mwenye kichwa kikubwa ndani ya kichwa chake hakuna akili mtu huyo hawezi kuona wizi wa Lowassa.

Wapo baadhi ya watu wanasema Lowassa alijenga chuo kikuu cha Dodoma chuo gani hicho Lowassa alijenga?
Wakati wa ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma mimi na waziri wa elimu ya juu wakati huo Piyusi Ng'wandu tuliitwa IKULU na Rais mkapa alituambia tutafuta eneo la ujenzi wa chuo Kikuu Dodoma kesho yake tulienda Dodoma tulikutana na wanakijiji wa maeneo hayo kilipojengwa chuo hicho.

Wananchi walikubali kuyaachi maeneo hayo malipo yalifanyika kila mwenye eneo alilipwa na serikali ujenzi wa chuo hicho ulianza kufyeka misitu baadhi ya sehemu serikali ilisimamisha ujenzi ili upite kwanza uchaguzi mkuu ndio uliomweka madarakani Rais kikwete

Bajeti iliyokuwa imepangwa kunza ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma ilitumika kujenga nyumba ya Rais mstafu alikuwa anaondoka IKULU muda wake wa uongozi ulikuwa umeshaisha na kumalizia ujenzi wa ukumbi wa BUNGE Lowassa akiwa waziri wa maji na mifugo.

Nashangaa sana kumeibuka kikundi cha watu wachache kinasifia mabwana wasaka urais badala ya kuisifia serikali au Rais aliyewaletea maendeleo wananchi eti Lowassa alijenga shule za kata mara alijenga chuo kikuu mara alipeleka maji miji ya shinyanga na Kahama poleni kwa kudanganywa.

Nawaomba sana wale wanaomnadi Lowassa watafute njia nyingine ya kumnadi waache kabisa kusema Lowassa alijenga shule za kata na chuo kikuu cha Dodoma ni mimi na wenzangu ndio tuliofanya kazi hiyo ya ujenzi sio Lowassa.

Kesho ataibuka waziri Magufuli atasema amejenga barabara kesho ataibuka mhe. Kapuya atasema amejenga uwanja mkuu wa mpira jijini dar es Salaam wakati huo kapuya alikuwa waziri wa michezo kesho ataibuka waziri mwakyembe atasema amejenga viwanja vya ndege.

Siku ikifika nitazunguka nchi nzima kuueleza umma wa watanzania mimi ndiye Joseph Mungai ndiye niliyeshiriki ujenzi wa shule za kata nchi nzima Rais wangu akiwa Mkapa sio Lowassa Rais ajaye Mungu anamjua sana.

Namjua sana Lowassa kama kidole changu nimefanya naye kazi kwa karibu sana hafai kuwa Rais hata nafasi ya waziri mkuu hafai sina ugomvi na Lowassa namshauri apumzike siasa kama nilivyopumzika mimi awaachie wengine waadilifu.

Chanzo cha taarifa:
Mafinga Online: Joseph Mungai amshauri Lowassa apumzike siasa, asema anamfahamu lowasa kama kidole chake..

#WataisomaNamba
#TwendeNaMagufuli
#HapaKaziTu
 
Amemlipua wapi wakati walikuwa wote kwenye kampeni na alionekana jukwaani akiwafagilia ukawa?
 
FYI:
========

SUNDAY, AUGUST 30, 2015


Ukawa wahamia Iringa, Mungai aibuka na kumnadi mtoto wake


mungai+iringa.jpg
Waziri wa zamani wa Elimu, Joseph Mungai akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Wambi, mjini Mafinga mkoni Iringa jana. Picha na Edwin Mjwahuzi

Kwa ufupi

Lowassa amesmea punde atakapochaguliwa kuongaza nchi kitu kikubwa atakachokifanya kuwasaidia wakulima ni kufuta ushuru wote wa mazao kuhakikisha wakulima wananufaika na jasho wanalolitoa wakati wa kilimo.

By Edwin Mjwahuzi Iringa.

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema amechoshwa na manyanyaso wanayoendelea kuyapata wakulima hapa nchi kwa kukopwa mazao yao na kutozwa ushuru na serilkali bila ya wao kupata faida yoyote.


Lowassa alisema punde atakapochaguliwa kuongaza nchi kitu kikubwa atakachokifanya kuwasaidia wakulima ni kufuta ushuru wote wa mazao kuhakikisha wakulima wananufaika na jasho wanalolitoa wakati wa kilimo.

Lowasa ameyasema hayo leo wilayani Mufindi alipofanya mkutano wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa Shule ya Msingi Wambi, mjini Mafinga.

Lowassa alisema watu wamekuwa wakizungumza kuwa CCM ni wezi wa kura kwasababu ni wajanja sana katika kufanya michezo michafu katika chaguzi na maneno hayo si yakuyabeza wala kuyafumbia macho.

"Mimi nataka kila mtu akihifazi vizuri kichinjio chake (kadi ya kupigia kura) na siku ya kupiga kura ikifika nawaomba wanawake na wanaume wajitokeze kwenda kupiga kura ila wakina baba nawaomba mkishapiga kura fanyeni kazi ya kuzilinda kura zenu" alisema Lowassa

Katika mkutano huo, waziri wa zamani wa Elimu, Joseph Mungai alipanda jukwaani na kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chadema, William Mungai ambaye ni mtoto wake.

Mungai aliwahi kuwa mbunge kwa miaka 35 kupitia CCM na aliweza kuteuliwa nafasi mbalimbali za uwaziri ikiwamo Wizara ya Kilimo, Mambo ya Ndani na Wizara ya Elimu.

Mungai alisema wananchi wa jimbo hilo wanatakiwa kumchagua William Mungai kwa sababu mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo hilo hakuweza kuongoza kama alivyofanya yeye.

Chanzo: Gazeti la Mwananchi Jumapili August 30th, 2015
 
Leo miezi sita baada ya taarifa hiyo, Joseph Mungai na mwanae William, Edward Lowassa "muongo!" na Fredrick Tluway Sumaye wote wamepanda Gari la VUGUVUGU YA MABADILIKO, high speed train ya CHADEMA/UKAWA! wapi na wapi?
 
Leo miezi sita baada ya taarifa hiyo, Joseph Mungai na mwanae William, Edward Lowassa "muongo!" na Fredrick Tluway Sumaye wote wamepanda Gari la VUGUVUGU YA MABADILIKO, high speed train ya CHADEMA/UKAWA! wapi na wapi?!

tulieni dawa iwaingie
 
Paragraph ya kwanza tu imenitosha. Kama Mungai kasema hayo, anamatatizo. Enzi yeye yuko Waziri wa Elimu? Utumbo mtupu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom