Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,137
Huo ni ujumbe mjarab kwa wazazi wote.Huyu mtoto hawakumtendea haki kabisa.. Walimnyima haki yake ya kuwa mtoto.. Shame on them..!
Kaa kimya hujui wewe kituHuyu mtoto hawakumtendea haki kabisa.. Walimnyima haki yake ya kuwa mtoto.. Shame on them..!
Lisemwalo lipo,,,,naanza kuaminiHuyu kahaba amemtoa kafara mwanae
HahahaaaMshana Jr tusaidie katika hili kwenyr mambo ya rohoni ama sirini imekaaje....maana kimwili tunaona ajabu sanaaa toa neno mkuu jr
Huyu mtoto hawakumtendea haki kabisa.. Walimnyima haki yake ya kuwa mtoto.. Shame on them..!