Mimi.!wewe kweli ni bazazi ndio maana hauna huruma wala ustaarabu hata kidogo
noella!Ntasema qeli daima;
sina haja ya kujali hisia za mtu awaye yote.
Uzembe wako uulipie gharama peke yako.
Ulipanua mapaja peke yako;
Lea mtoto peke yako.
Mwambie uqeli kuwa Baba yako simtaki;
Qa kuwa ana dhakari kubwa siwezi kuhimili.
Furahia mwaka 2013 qa maumivu ya kushindwa kutoa "package" kamili qa mweza.
Bazazi!
sun wun!kejeli zako zinaweza kumuharibia mtu siku yake in so doing na yeye hasira zake akamuharibia mwingine before knowing JF watu wanaanza kuharibiana siku (knock on effect)
madhara ya mtoto kuishi bila baba (father figure) ni makubwa sana fanya mpango umkutanishe na baba yake ikshindikana mwambie ukweli na umtafutie mtu wa kuwa baba yake it will help the kid psychologically
I know Bazazi, he use to irritate mimi pia lkn baada ya kumzoea huwa napata points kwenye 'not so good' posts zake.
Mdada alileta mada iliyoacha kiu ya watu wajue what is the root cause ya them not living as a family (for a child's sake). Sawa she knows kwamba hawawezi kuwa pamoja lkn kawaachia washauri waguess why (which could be avoidable) na IMO case yake sio ya ajabu sana.
Anyway, tuko tofauti in as much as tungependa wengi tuwe waungwana Kama AshaDii l can't see it happening. So we should pick what to take n what to ignore.
BTW happy 2013 sun wu
sun wun!Kabla ya kuja juqaani ni lazima ujiridhishe kuwa maswali yote umeyajibu!
Usipokuwa umeyajibu, tupo watu tutakao kulazimisha ujibu.
Usinilaumu kuwa namkejeli;
Mwambie aeleze udhaifu wake wote halafu uone nitamshauri nini?
Lakini qa nini niwaze na kuua neuron zangu qa ujinga wake?
Ndimi Bazazi!
mimi ninafanya kila niwezalo kumconvince baba yake awe karibu na mtoto ila ndo hivyo hataki.sometimes hata akimuulizia napiga simu afu nampa aongee baba yake akisikia sauti ya mtoto anasema "nenda zako sitaki kukusikia"..najitahidi kwa kweli
sun wun!Kabla ya kuja juqaani ni lazima ujiridhishe kuwa maswali yote umeyajibu!
Usipokuwa umeyajibu, tupo watu tutakao kulazimisha ujibu.
Usinilaumu kuwa namkejeli;
Mwambie aeleze udhaifu wake wote halafu uone nitamshauri nini?
Lakini qa nini niwaze na kuua neuron zangu qa ujinga wake?
Ndimi Bazazi!
madhara ya mtoto kuishi bila baba (father figure) ni makubwa sana fanya mpango umkutanishe na baba yake ikshindikana mwambie ukweli na umtafutie mtu wa kuwa baba yake it will help the kid psychologically
da haya maisha haya kumbe tupo wengi sana oh god forbid.,wanawake tunatabu sana ukataliwe na mimba ,mtoto utunze mwenyewe kwa tabu akuwe mkubwa baba amdai wewe umeolewa kwingine ,mtoto akukimbi aende kwa baba yake lol acheni tu ndio sababu nikiona mwanaume ananyanyaswa nachekaga tu pembeni nasema analipia 10 women wanao suferKwanini hutaki kukaa na mzazi mwenzio?
Mimi nimekumbana na maswali hayo, lkn situation yangu na yako tofauti.
Mine was forbiden love.
Baba anampenda mtoto na wanakuwa pamoja at least twice a year. Na amekuwa aki support malezi ya mtoto kuanzia mimba. So now he is old enough anajua kwanini siwezi kuwa na baba yake ingawa angependa iwe hivyo.
da haya maisha haya kumbe tupo wengi sana oh god forbid.,wanawake tunatabu sana ukataliwe na mimba ,mtoto utunze mwenyewe kwa tabu akuwe mkubwa baba amdai wewe umeolewa kwingine ,mtoto akukimbi aende kwa baba yake lol acheni tu ndio sababu nikiona mwanaume ananyanyaswa nachekaga tu pembeni nasema analipia 10 women wanao sufer
mimi ninafanya kila niwezalo kumconvince baba yake awe karibu na mtoto ila ndo hivyo hataki.sometimes hata akimuulizia napiga simu afu nampa aongee baba yake akisikia sauti ya mtoto anasema "nenda zako sitaki kukusikia"..najitahidi kwa kweli
Mimi hapana; nitajitahidi kuweka image nzuri ya baba yake hata kama ni kichomi. Hasira zangu nazificha na kutunga story ambayo atapata image nzuri; sipendi kumuexpose mtoto kwenye evil.
Mwanangu anauwezo wa kuishi popote na akajichanganya kwani anaamini kila mtu anampenda. Sikuwa nasema mabaya ya watu infront of him; na hiyo imemfanya awe a happy boy.
najua wajua kwamba nakupenda, zaid napendezwa ka moyo wako wa umama Kaunga.
mwishishe mtoto katika makuzi ambayo hatajifunza kuona wengine ni watu wabaya na waovu.
i love this.
"mummy,daddy wapi?".hili ni swali nimekuwa nikiulizwa na mwanangu wa miaka mitatu for the past two weeks. namdangayadanganya daddy atakuja au daddy kasafiri ila najisikia vibaya sana.
kwa wale wamama wenye uzoefu wa kuishi single nijuzeni mlivyocope na haya maswali mana nahisi anavyozidi kukua ndo anavyozidi kuuliza, na kumtaja baba wake akiwa anacheza na rafiki zake.
Hatukuweza kuwa pamoja na baba yake ingawaje tupo jiji moja lakini amesusa kumuona mwanae na kumuhudumia pia akisema kuwa me na mtoto we come as a package so if he can not be with the mum he can also not be involved with the child.
Nawasilisha
okaay, Bazazi, ngoja nikujibu hivi
nilikuwa na uhusiano na huyu baba mtoto kwa miaka saba,mtoto ana miaka mitatu, ndani ya hiyo miaka saba miaka mitatu ya mwisho ni vipigo, kejeli, matusi, na fumanizi za hapa na pale. sasa hivi baada ya kuchoka na kuamua enough is enough anarudi na kusema kuwa alikuwa mtoto, mtu mwenye miaka 37 now.na akitukana anatukana mpaka mtoto analia anasema mwache mummy. ndani ya miaka hii mitatu ya mwisho tumeachana hata zaidi ya mara kumi na kurudiana nikiwa na matumaini ya kuwa atabadilika. baada ya mimi kuona siwezi tena na kuamua kwamba siwezi tena akaanza kuzunguka kwa wazazi wangu na ndugu akiwahadithia mpaka yale mambo ya kipuuzi aliyokuwa akifanya, kwahiyo hapa wazazi wangu wananihurumia kuwa huyu atakuwa mume wa aina gani.na pia anadiriki kutuma message za ajabu kwa mama yangu na kumwambia"kama ndo hivyo mtoto nawapeni wa bure na akifa mzikeni hata sitaki kujua"..kwanini awahusishe wazazi kenye magomvi yetu?mauinga afanye yeye halafu aforce mahusiano wakati mimi moyo wangu umeshachoka.
halafu anakuja mtu kama Bazazi ananishutumu kuwa mimi ni mjinga na mpumbavu.kwani unadhani mimi nimependa itokee hivi?au navyoulizwa masawali unadhani napenda?au napenda kuishi maisha ya kulia na manyanyaso kila siku?ndani ya siku saba za wiki ninakuwa na furaha masaa kadhaa tu siku zingine zote ni kulia na kulalamika.afu unasema mimi mpumbavu?
wew kama huna au huoni sababu ya kunishauri ni afadhali ukae kimya kuliko kunitolea maneno yanayozidi kuniumiza. kwaheri