ndio iwe fundisho sio mwazaa na kusema kuwa eti naweza kumlea mwenyewe...watoto wanataka baba zao...na wee jishushe mtoto akamuone baba yake ata kama hamtaishi pamoja but mtoto aweze kwenda kwa baba whenever anapotaka
nimekuelewa lakini vilio vingi ni kwa wanawakeHapana, siyo wanaume wote wako hivyo na siyo wanawake wote ambao huwapenda watoto wao.
Kwa hiyo wanaume hatukosei kwa sababu wote hatufanyi hivyo. Baba yangu hakukosea hata mara moja. Mimi sijakosea hata kidogo. Wanaokosea ni hao mahsusi wanaowafanyia hivyo wana wao.
nimekuelewa lakini vilio vingi ni kwa wanawake[/QUOTE
Bahati mbaya kina baba mara nyingi hawakimbii watoto. Wanawakimbia mama zao; ama kwa case hii inaonekana mama wa mtoto ndo kamkimbia baba - halafu kakimbia na mtoto.
tatizo la hao wanaume mtoto akikua na akiwa na nyadhifa fulani,mara huyo mzazi anajigonga,hawajui jinsi gani wanavyowaumiza watoto wakiwa wadogo.kuna kaka mmoja alivyomtelekeza mzazi mwenzake,huyo dada akaenda nje ya nchi.huyo kaka alikuwea hataki hata kusikia habari ya huyo mtoto.mkaka akaoa,hakupata mtoto maisha, wacha aanze kumtafuta yule aliemtelekeza.huyo mtoto wa kike ana chuki na huyo baba,mwenyewe anasema huyu baba wa kambo ndio baba yangu.amenilea vizuri tu{mama yake baadae aliolewa na m congo}huyo baba amemkubali kama mtoto wake.ki ukweli wanaume mnakosea kwa hilo,hata kama hakuna mapenzi na wazazi wenzenu,jaribuni kujenga urafiki ili msiwaumize watoto wenu.u never know in life hao hao watoto wanaweza wakawasaidia wakati wewe mzazi unakuwa huna mbele wala nyuma
mie ningemuambia alisha rip! Mambo mengine magumu jamani, kha!
Yaani unamaintain philosophy yako ya kugegeda tu, na sio vingine lol!
what does this (in red mean) mean Kaunga?
Umenikumbusha mke wa kitombi Beckam,baba ya wanaye akiandikwa kuhusu umalaya wake kwenye magazeti basi Vicky anawakalisha kitako wanae na kuwaambia yote anayosemwa baba yao ni uongo.Anamwagia masifa David he is a good daddy to them.
Na David Beckham kweli ni mstaarabu kuliko super stars wengineo.. Amestic kwenye ndoa for more than 10 years na mkewe ana furaha siku zote.. Ndo maana anamtetea..
Kwa hela alizokuwa nazo beckham na heshima ana uwezo wa kufanya chochote lakini kwa heshima ya mkewe anafanya kwa siri sana..
Skendo zote za beckham hazina ushahidi wa kueleweka na hapo ndo victoria anapodata..
Kiukweli duniani siamini kama kuna mwanaume asiye cheat sema kwa heshima ya wake zetu tunatakiwa kuhakikisha hawajui hata kwa kuhisi so that they can be happy forever..
Hata wewe kama una mume nae anacheat sema anakupa heshima yako ndo maana unafuraha siku zote.. But magume gume ndo yanacheat kijinga na kukuletea stress mkewe
Mie ningemuambia alisha RIP! Mambo mengine magumu jamani, kha!
Mkuu wakati mwingi huwa ni sisi na akili zetu za mbayu wayu, binafsi naamani naweza kimbia vingine lakini sio DAMU yangu mkuu, It means a lot to Me and to God. hata kama mmeshindwana na mama yake, mtoto ana kosa gani yeye, hata kumjulia hali ushindwe??????
Nimekulia malezi ya mzazi mmoja from 3 yrs (mine alifariki), najua nini mtoto anakosa mzazi mmoja anapokosekana kwa vyovyote vile, nadhani inauma zaidi kama yupo hai alafu amekutelekeza, pains a lot.
mtoto anaumri gani