Pole sana ..Kinadada angalieni sometimes mnakuwa chanzo cha kuwakimbiza kinababa hadi wanasamehe damu zao
what does this (in red mean) mean Kaunga?Kwanini hutaki kukaa na mzazi mwenzio?
Mimi nimekumbana na maswali hayo, lkn situation yangu na yako tofauti.
Mine was unforbiden love.
Baba anampenda mtoto na wanakuwa pamoja at least twice a year. Na amekuwa aki support malezi ya mtoto kuanzia mimba. So now he is old enough anajua kwanini siwezi kuwa na baba yake ingawa angependa iwe hivyo.
"mummy,daddy wapi?".hili ni swali nimekuwa nikiulizwa na mwanangu wa miaka mitatu for the past two weeks. namdangayadanganya daddy atakuja au daddy kasafiri ila najisikia vibaya sana.
kwa wale wamama wenye uzoefu wa kuishi single nijuzeni mlivyocope na haya maswali mana nahisi anavyozidi kukua ndo anavyozidi kuuliza, na kumtaja baba wake akiwa anacheza na rafiki zake.
Hatukuweza kuwa pamoja na baba yake ingawaje tupo jiji moja lakini amesusa kumuona mwanae na kumuhudumia pia akisema kuwa me na mtoto we come as a package so if he can not be with the mum he can also not be involved with the child.
While I am not a single parent, I understand the depth of your pain when questions are posed calling for accurate answers, tell the child the truth, that truth will set both of you free, if you are economical with the truth, you will live your lie and lose the respect from the very person you are living for.
Dad isnt staying with us because he lives far away, for instance. He wont be coming here for a long time because of the distance between us, this position I believe will accomodate any change of mind on the part of the father
You and all wanJamvi pray about this matter
Mkuu wakati mwingi huwa ni sisi na akili zetu za mbayu wayu, binafsi naamani naweza kimbia vingine lakini sio DAMU yangu mkuu, It means a lot to Me and to God. hata kama mmeshindwana na mama yake, mtoto ana kosa gani yeye, hata kumjulia hali ushindwe??????
Nimekulia malezi ya mzazi mmoja from 3 yrs (mine alifariki), najua nini mtoto anakosa mzazi mmoja anapokosekana kwa vyovyote vile, nadhani inauma zaidi kama yupo hai alafu amekutelekeza, pains a lot.
Mie ningemuambia alisha RIP! Mambo mengine magumu jamani, kha!
Umenikumbusha mke wa kitombi Beckam,baba ya wanaye akiandikwa kuhusu umalaya wake kwenye magazeti basi Vicky anawakalisha kitako wanae na kuwaambia yote anayosemwa baba yao ni uongo.Anamwagia masifa David he is a good daddy to them.Mimi hapana; nitajitahidi kuweka image nzuri ya baba yake hata kama ni kichomi. Hasira zangu nazificha na kutunga story ambayo atapata image nzuri; sipendi kumuexpose mtoto kwenye evil.
Mwanangu anauwezo wa kuishi popote na akajichanganya kwani anaamini kila mtu anampenda. Sikuwa nasema mabaya ya watu infront of him; na hiyo imemfanya awe a happy boy.
Mpeleke makaburini mwambie amelala hapa muonyeshe kaburi lolote