Mume *****....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
mume.jpg

Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
What's wrong with this? mi sioni ubaya.
Tena naona mazingira yao ya ulaya haya
Yoooote mi naona ni sawa tu ila kuna kimoja:
Nisimkute kakalia mbuzi anakuna nazi. :nono:
 
Ametoka kazini na tai yake akaombwa afungwe mtoto mgongoni then aonekane anaosha vyombo ili apige picha.
OTIS
 
Tuache mfumo dume,wapi wameandika kuwa mwanamke ndie wa kubeba mtoto,au atakiwi pika?nendeni hapo tu South Africa Wanaume wanapikia wake zao na kufanya usafi majumbani,ata hapa baadhi ya marafiki zangu usiku wakitoka makazini wanabembeleza watoto na kuwapashia maziwa moto wakati my wife wake anapumzika kutokana na kazi na malezi ya mtoto mchana.Wanaume kazi yao sio tu kutia mimba na kekesha baa,na mabaa maid,unarudi ucku mkeo kutwa nzima yupo na mtoto anamsumbua wewe unarudi unamnukia Konyagi au value,unakoroma kama mashine ya kusaga ya dizel,mwenzio ucku still alali mtoto anamsumbua wewe unabaki kujisifia nna watoto watatu....nyambafu
 
Kibongo bongo hapo labda kuna smg nyuma yangu.Ndo mambo yataenda kama yanavyoonekana hapo.
 
ila sasa hapa ingebidid tuonyeshwe na huyo mama akiwa kaumzika pembeni ya mumewe, ili tujue kweli kwamba ni mapenzi ya tu na siyo shida. lakini ukweli jamaa kajitoa sana kwa family inabidi mkewe awe na hashima sana kwa huyu baba :love: :love:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom