Mume wangu mvivu!

Pole sana...jaribu pia kuona namna ya kuongea naye na pia kumsaidia kwa kuweka mazingira muafaka kwake kukupenda na kukuona mpya kila siku.
 


  • :confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:

 
Inatokea sana hiyo mpenzi, jaribu kubadilika na wewe, usikute alikuowa unajipenda na sasa umejiachia sababu ya kuzaa na malezi, tupende tusipende wakati mwingine tunajiachia, na kukosa mvuto, jitahidi kufanya vitu ulivyokuwa unafanya kipindi kileeee
 
hubby si mambo hayo....toa ushauri nasaha
:becky::becky:

:mimba::mimba::behindsofa::behindsofa::confused2::confused2::confused2:

:closed_2::closed_2::closed_2:
 
tafta dogo dogo kama mm upate mapenzi motomoto yasiyochosha kama vp ni PM nikusaidie tatzo lako
 
Hiyo sio kawaida kwa mwanaume labda anastress ana mna ugomvi ambao anaumezea mate au ume mkera.... Nature calls for investigation
 
Najua mume wako bado ni kijana lakini naomba ajaribu viagra au cialis. Pengine si vibaya ununue wewe hizi dawa na umpe kama zawadi (wraped) ya kum-miss.
 
Utakua umejiachia sana. Hupendezi kama zamani, unatema kikwapa, mbunye huioshi vizuri so anaona kinyaaaa...jaribu kurudi enzi za uchumba. Utaona mabadiliko!
 

Right kabisa.. Ukikutana na hawa watu ndio utajua wanasafiri kwa maana gan.. Sasa hapa kwetu utasafiri kuelekea wap wakati riziki tu ya siku ni kasheshe kweli SHIDA NI JERAHA LA MAISHA. Tuvumiliane
 

Sasa hivi mumeo anakaribia umri wa miaka 40, testosterone level inawezekana imeshuka vibaya mno. Tena mna watoto wawili, je wewe unafanya kazi? je unachangia mahitaji ya nyumbani? Je yeye anakipato gani?
Umri + mawazo ya ugumu wa maisha kichwani, hamu ya ku-do ina approach zero.
 
Maisha ya ndoa sio maigizo kabisa na ndoa ili iwe na furaha ni LAZIMA ujue hasa nini maana ya UPENDO
'
Ni vyema kujipanga kukabiliana na changamoto za ndoa na kujua namna ya kukabiliana nazo.
'
Kuishi pamoja na mtu yuleyule na majukumu kuongezeka na vurugu nyingi za ndoa hutosha kabisa kumfanya mume kutokuwa na mudi kwenye suala hili!
 

Unayoyasema ni kweli tupu lakini kagoli kamoja mwezi mzima au bi dada anatoka nunge na hii ndio miaka sita tu ya ndoa miaka sita wengi wanakuwa bado ndani ya honeymoon hata kama wana watoto, hii si haki hata kidogo bi dada ana haki ya kuchezwa machale.
 
Tatizo si kubwa sana kivile ni marekebiaho yanahitajika.mshauri mmeo awe anafamya mazoezi mara kwa mara ili kupunguza huo mwili alionao pia ongeza majonjo ya mapenzi kwake kama vile leo ndio siku ya kwanza kuonana muonyeshe vitu mbali mbali jaribu kuwa mbunifu kila siku umuonyeshe kitu kipya kwenye malavidavi pia inawezekana kabisa mmeo hafurahishwi na wewe kimapenzi hivyo ubunifu unahitaji.Jaribu kuongea naya mambo mbali yanayohusu maisha ili ujue kuna tatizo gani kwenye maisha kwa ujumla.Inawezekana anasumbuliwa na msongo wa mawazo hivyo anaona hakuna umuhimu wowote wa kufanya tendo la ndoa.Hivyo unachotakiwa ni kumpa moyo na kumsaidia scan hizo strees.
 
1. Jaribu kubadili mazingira ambayo huwa mnakutana faragha.
2. Chunguza mwili wako, wakati wa awali na sasa pengine huna ule mvuto wa awali.
3. Jaribu kumpikia mumeo vyakula vinavyopandisha mzuka na si malapulapu.
4. Kuwa mbunifu kitandani, usiwe kama kipande cha zege kitandani. Hii itamfanya mumeo awe ana taswira chanya juu yako.
5. Unapokua na mumeo jaribu uwe kama malaya, amsha hisia za mumeo kwa kufanya massage, kumshikashika sehemu korofi n.k achana na uwoga wa under 18.
6. Kama mumeo ni kibonge, basi mwambie awe anafanya mazoezi ili kurekebisha mfumo wa uzungukaji damu na mfumo wa upumuaji.
 
Upunguze kuvaa mavitenge ovyo.....mtege kidogo,vile ulivyokua unafanya wakati wa uchumba,uendelee navyo....na usishangae huyo mumeo akienda game za mchangani anapiga goli nne tena hachoki.....!!!!

na kunenepeana ovyo. utakuta alivokua dem wake alikua mrembo na mwembamba kiasi. ameolewa na kuzaa, basi kajiachiiiia na hajui tena bei ya wanja wala rangi za kucha. Badilikeni enyi wanawake wa Kitanzania.
 
Je, majukumu ya kazi na familia yanamsababishia stress? Anaweza akawa na stress na asijue! Ongea na wataalamu wa saikolojia wakusaidie, anakula vizuri balance diet na kupata muda wa kutosha kupumzika? Je huwa mna toka out kwa matembezi Kwenda sehemu tofauti na mazingira ya nyumbani? Je huwa mnapata muda wa kucheza mchezo wowote ule Sio tendo la ndoa! Kama ulivyosema mumeo Ana miaka 38 inawezekana uwezo wake wa nguvu za Kiume umepungua kutokana na sababu mbali mbali nilizokwisha zitaja pamoja na umri kiujumla mshauri apime testosterone level kuona Kama zimeshuka tafuta daktari specialist wa homoni au kwa kizungu endocrinologist Nina uhakika ukiyazingatia hayo, u will get ur man back in track once again, good luck
 
Tafuta dildo, uwe unajitimizia mahitaji yako huku anakuangalia; huenda akalionea wivu hilo livibrator.

Halafu ndio hao wanaume wanasema wamekuwa programed kuwa na wanawake wengi kama madume ya impala! LOL
this is the last statement i would expect from you.
BTW mzima mamii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…