Mume wangu kiboko

Mume wangu kiboko

Haya ni maneno ya mfanyakazi mwenzangu akilalamika mumewe anataka kumgegeda kila siku anasema imekuwa ni tabia mpaka na yeye amezoe ikitokea siku mbili kajifanya bizy kutompa basi humo ndani mume ni kununa tu mwanzo mwisho, swali anauliza kiafya sio mbaya mana anaona kama ni tatizo kila siku lazima awajibike kumpa mpaka anasema siku asipodai tu atajua kachepuka na pia anahisi asipompa atachepuka nje wanajamvi tumshauri najua hapa haliharibiki jambo wenye matusi kwenuuu hapa jf raha tuu.

hiyo kitu ya kawaida saana, pamoja na kuwa mini mzee wa chalinze lakini bado nimoni tuu hadi kieleweke.
 
Haya ni maneno ya mfanyakazi mwenzangu akilalamika mumewe anataka kumgegeda kila siku anasema imekuwa ni tabia mpaka na yeye amezoe ikitokea siku mbili kajifanya bizy kutompa basi humo ndani mume ni kununa tu mwanzo mwisho, swali anauliza kiafya sio mbaya mana anaona kama ni tatizo kila siku lazima awajibike kumpa mpaka anasema siku asipodai tu atajua kachepuka na pia anahisi asipompa atachepuka nje wanajamvi tumshauri najua hapa haliharibiki jambo wenye matusi kwenuuu hapa jf raha tuu.

Its abnormal
 
Namuunga mkono tena aendeleee kumtandika bara'bara

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom