Leomimi
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 2,547
- 874
Haya ni maneno ya mfanyakazi mwenzangu akilalamika mumewe anataka kumgegeda kila siku anasema imekuwa ni tabia mpaka na yeye amezoe ikitokea siku mbili kajifanya bizy kutompa basi humo ndani mume ni kununa tu mwanzo mwisho, swali anauliza kiafya sio mbaya mana anaona kama ni tatizo kila siku lazima awajibike kumpa mpaka anasema siku asipodai tu atajua kachepuka na pia anahisi asipompa atachepuka nje wanajamvi tumshauri najua hapa haliharibiki jambo wenye matusi kwenuuu hapa jf raha tuu.