Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Sasa rafiki, ukiwa na mke hata hatazamwi kwa jicho pembe unajisikiaje? Mie nikipita na handsome man wangu nafurahia wadada wakipaliwa ama kujikwaa. Well, at least wageuze hata shingo na mie niendelee kujisikia mshindi, lol

Inaonekana hujiamini kwa chaguo lako mpaka upate mihuri ya wengine.
 
Ukiona mwanamke unatongozwa juwa kuwa unakubalika na bado unadai lakini ukiona kimya ujue umechoka umechakaa...

Pia ukiona unatongozwa sana ujue wanaume wameshaambiana wewe ni mteremko.
 
Kama wake wenyewe ndio dizaini hizi bora tusioe tu, tuwaachie uhuru wa kujiona "wamo" siku zote bila kumkwaza mume.

Mie nasubiri nizeeke zeeke kidogo; au hata wazee nao wanajisikiaga wivu?!
 

Chuma chakavu ni stronger kuliko kipande kipya cha mbao.
Dada yangu hapo unajaribu kuandika upya historia. Hata vitabu vya dini vina imply kuwa mwanaume ni superior kwa mwanamke. Hizo mnazoita class/saizi😛esa, magari, elimu,dhahabu,mali ambazo mwanamke anamiliki hazibadilishi uanamke wake. Mwanamke ataendelea kuwa mwanamke tu na mwanaume ataendelea kuwa mwanaume tu. Hizo saizi/class ni mwanamke tu ndio anafikiria kuwa zipo, lakini in real sense hazi exist na ndio maana hata muuza kahawa ukimkalia vizuri atakutongoza tu, regardless unaonekanaje.
Wanaume hawana haya mambo ya hizo class, ndio maana anaweza akatoka na mwanamke yeyote.
 
Pia ukiona unatongozwa sana ujue wanaume wameshaambiana wewe ni mteremko.

Ukiona mwanamke unatongozwa tongozwa sana, fahamu una sura ya kimalaya!

NB: Wadada mtongwazao mara kwa mara, tafadhali msinitoe macho---mi mjumbe tu, na mjumbe hauawi! Hayo si maneno yangu bali ya Mzee wa Upako!
 
Pia ukiona unatongozwa sana ujue wanaume wameshaambiana wewe ni mteremko.
Hayo mawazo hajaenda shule, nakumbuka kulikuwa na bint mmoja mzuri sana na kila mwanaume anamtongoza kanawakatalia, na kila mwanaume akitoka pale anaenda kusema aisay kale ka bint hakagawi hata ufanye vipi, yani tumekwenda jeshi zima na kila aina za tack tik lakini tumekwama...Mpaa siku kanaolewa wanaume wengine wakabaki kumsifu mme wake kafanya vipi mpaa kakapata:biggrin:
 
Sasa ulichoandika hapa ndio kimeenda shule?
Sasa kama kila mwanaume angesema anagawa huoni kama msururu wa watongozaji ungeongezeka zaidi ya maradufu?
Eti tumekwenda jeshi zima, kutongoza mnakwenda jeshi zima?
 
Sasa ulichoandika hapa ndio kimeenda shule?
Sasa kama kila mwanaume angesema anagawa huoni kama msururu wa watongozaji ungeongezeka zaidi ya maradufu?
Eti tumekwenda jeshi zima, kutongoza mnakwenda jeshi zima?
Hahaha unajua mana ya Jeshi zima wewe, yani ni idadi ya watu sio mmoja, yani wao waekusudia sio walienda wote pamoja wakati mmoja kila mtu alienda na wakati wake:biggrin:
 
Kuna Mwanaume Mmoja alitongoza demu siku ya kula mzigo jamaa alivaa Shanga demu alioondoka akaenda kuadithia wenzake kuwa yule mwanaume anavaa Shanga basi sifa zikavuma mji mzima na wanawake wakawa wanataka kushuhudia Shanga basi jamaa akawa anawala mmoja baada ya mwingine akahadithie wenzake.... Hata Kongosho anafahamu hili
 
Una utani na Kongosho weye, you mean hadi kongosho alienda kumtarai?
 
Last edited by a moderator:
Una utani na Kongosho weye, you mean hadi kongosho alienda kumtarai?
oi sina hakika nae ila anafahamu hili wewe ushaona Mwanaume Kavaa Shanga? mtaani walikuwa wanabishana sana kuwa haiwezekani najamaa alikuwa si mvivu wa Kutongoza so akifuatwa tu anatongozwa na alikuwa anashangaa hakataliwi!
 

Mimi naona ujinga wako unatokana na kutojua maandiko wala namna ya kujibu hoja kwa ushahidi wa maandiko unabwabwaja tu maoni binafsi utafikiri tuko kwenye kikao cha saccos; mbona huleti andiko linalokanusha iwapo kumtamani mwanamke sio kuzini nae tayari mpaka wafanye sex kabisa? hivi kumchekea mtu kinafiki wakati rohoni unamchukia sio dhambi? Hayo yote unayosema mwanamke sijui anataka kujipima kama anapendeka au vipi ni ngonjera tu kama komedi ya kawaida kwa kuwa huleti andishi ku support ngonjera hizo linalosema mwanamke ajipime kama anapendwa na jumuia ya wanaume wengine zaidi ya mumewe. According to your confused thinking you figure that god is doing injustice by restraining women to commune with men apart from their husbands. You also wrongfully quote the Holy Quoran to indicate that a woman seeking presence of other men is doing equitable justice to relatives, whereby i fail to see the connection between being admired by men at large and relatives of that particular woman. Indeed what i find herein is a jumble of a miserably confused person
 
The reason I quote that Surah, because Islam is an institution of justice...huwezi wewe kusema mke hamhusu mme hata siku moja na hio Surah sio lazima iwe imekusudia unavyo sema wewe, mana mke anahesabiwa ni katika family, and our ways of doing things and deeds and even our mode of thinking are under surveillance of our Lord, who knows everything about us without our awareness....After all we shall have to present ourselves before Him for the accountability of our deeds:A S shade:


The Holy Prophet Muhammad said: "A moment of justice is better than seventy years of worship in which you keep fasts and pass the nights in offering prayers and worship to God".

We hujanijibu wapi kwenye Quran imeandikwa kama unataka kutongaza au kutongozwa ni dhambi kama hujaenda kusex, mana hata rushwa imandikwa dhambi kama unakula rushwa kama huli rushwa au hutoi rushwa vipi iwe dhambi, umetaka kutoa ile rushwa kuwatega watu useme tawepeni rushwa lakini usiwape vipi iwe dhambi:wink:

Na wewe unaposema kutongozwa unakusudia nini haswa, mana hata Rushwa ina hesabiwa kutongozwa kwa njia flani ili urahisishe mambo, sa unapo taka kumpa rushwa mtu...afu ukasema aaa basi sitaki tena kutoa tena ruswa, vipi iwe dhambi.

Ikiwa ile Surah imekuchanganya vipi hiii

We sent Our Messengers with clear evidence (to support their truthfulness), and sent with them the Book and the Balance (criteria of right and wrong) so that people would maintain justice. We sent down iron, in which is a vital war material and which benefits the people, so that Allah would know who would help Him though unseen, and His Messengers. (Surah al-Hadid, 57:25)

Hata hii sura utasema imekusudia kitu kingine au? Mana hizo Surah za Quran zinaweza kutumika sio lazima kuamua kitu flani tu, zinatumika kuamua mengi kama hujui:A S shade:
 

And how does this jumbleree of self opinion relate to the topic under discussion as presented by the originator? and alas, how does the same offer a reply to the queries i raised in my previous post? my friend you only know how to bwabwaja but can hardly answer the point of substance. I presume the ones following up this topic can identify what is milk and what is sticky mud.
 
Actually, I see nothing with the judges decisions:biggrin:

Nilijua utaishai vile mana huna point ya kujua undani wa yule mwanamke:yo:
 
Actually, I see nothing with the judges decisions:biggrin:

Nilijua utaishai vile mana huna point ya kujua undani wa yule mwanamke:yo:
Nimeuliza andiko linalotoa ruhusa mwanamke kujichanganya na wanaume ili atamaniwe au atongozwe zaidi ya kutosheka na matamanio ya mumewe. Nijuavyo mimi mda wote mwanamke anatakiwa kutia akilini jambo hili kwamba ni lazima ajipambe na ajirembe kwa minajili ya mumewe pekee. Kwanini basi kivazi cha mwanamke ni cha kuficha maungo? hicho unachotaka akakionyeshe kwa wanaume wengine ni baibui au nikab? Unataka undani gani ujulikane zaidi ya kwamba mtawatambua kwa matunda yao? matendo ni matokeo ya kilichomo nafsini na kutaka kutongozwa hadi inakuwa kesi na vikao ni tunda ovu na chafu huhitaji kutafakari kilichoko rohoni pa mwanamke yule. Mbali ya hilo nimesema toa andiko mimi natoa maandiko wewe unaleta ngebe tupu na maandiko yasiyohusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…